Nina mtaji wa Tsh. Milioni 5. Nipo mkoa wa Songwe

Nina mtaji wa Tsh. Milioni 5. Nipo mkoa wa Songwe

Soko lipo la uhakika yaani mzigo unafika na kuuzwa hapohapo? Au inabidi uanze kutafuta wateja. Maana kukaa na kuanza kutafuta wateja ni gharama lazima nayo ipigiwe mahesabu
Mimi napokea mzigo nakulipa hapo hapo, nanunua kwa jumla sasa ivi @70,000 kwa gunia hapa dodoma. Yakichanganya nitashusha bei kwa kadri ya soko litakapokuwa
 
Mimi napokea mzigo nakulipa hapo hapo, nanunua kwa jumla sasa ivi @70,000 kwa gunia hapa dodoma. Yakichanganya nitashusha bei kwa kadri ya soko litakapokuwa
Sawa mkuu. Ni zao gani lingine lina soko ambalo una uzoefu nalo au huwa unanunua pia?
 
Komaa na hicho kilichokufanya upate 5m kama haikuwa ya kupewa, kuiba au betting.
 
Nenda Tunduma anza kukatisha kwacha, dollar na shilling. Hapo utapata uzoefu wa biashara nyingine na zaidi mtaji utaongezeka.

Hiyo biashara nzuri kwa kukuzia mtaji hulipi TRA wala leseni
 
Sogea counter kwanza upige moja mbili tatu kutoa wenge then urudi kuchukua darasa .
 
Afu iyo ya phone used uta kabwa tu na wateja itor kwenye list ni ya watu wa mjini mjini .janja janja nyingi
 
Nenda Tunduma maeneo ya Kisimani na Black Kwa wauza maturubai na vyombo vya plastic chukuwa kiasi nenda navyo Kamsamba, Chiliamatundu, na vijiji vingine uwauzie wakulima wa Mpunga, kwenye lile blonde utapiga Hela sana. ukimaliza unahamia Kasende, Iyendwe, ukiweza chukuwa na Vitenge pale Black Kwa Kina Momba. Au Chukuwa vipodozi pale Black upeleke Mbeya mjini na Iringa hapo waone magwiji wa Black wakusadie jinsi ya kusafirisha mizigo
Kwahiyo wanyamwanga ni washamba hivi?
Lucas Mwashambwa hebu njoo useme.
""Eti watani wako ni washamba hivi??""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom