Nina mtaji wa Tsh. Milioni 5. Nipo mkoa wa Songwe

Soko lipo la uhakika yaani mzigo unafika na kuuzwa hapohapo? Au inabidi uanze kutafuta wateja. Maana kukaa na kuanza kutafuta wateja ni gharama lazima nayo ipigiwe mahesabu
Mimi napokea mzigo nakulipa hapo hapo, nanunua kwa jumla sasa ivi @70,000 kwa gunia hapa dodoma. Yakichanganya nitashusha bei kwa kadri ya soko litakapokuwa
 
Mimi napokea mzigo nakulipa hapo hapo, nanunua kwa jumla sasa ivi @70,000 kwa gunia hapa dodoma. Yakichanganya nitashusha bei kwa kadri ya soko litakapokuwa
Sawa mkuu. Ni zao gani lingine lina soko ambalo una uzoefu nalo au huwa unanunua pia?
 
Komaa na hicho kilichokufanya upate 5m kama haikuwa ya kupewa, kuiba au betting.
 
Nenda Tunduma anza kukatisha kwacha, dollar na shilling. Hapo utapata uzoefu wa biashara nyingine na zaidi mtaji utaongezeka.

Hiyo biashara nzuri kwa kukuzia mtaji hulipi TRA wala leseni
 
Sogea counter kwanza upige moja mbili tatu kutoa wenge then urudi kuchukua darasa .
 
Afu iyo ya phone used uta kabwa tu na wateja itor kwenye list ni ya watu wa mjini mjini .janja janja nyingi
 
Kwahiyo wanyamwanga ni washamba hivi?
Lucas Mwashambwa hebu njoo useme.
""Eti watani wako ni washamba hivi??""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…