Ahaaa ishu Iko ivi mzee alikat moto alituachia Mali ziko na Maza ,mimi Maza akaniachia mashne ya kusaga niendeshe pesa zanguUngezipata kwa kupambana usingekosa kujua namna nzuri ya kuziongeza.
Kama za urithi sema kijana tukushauri zisije kuishia kinenani
Mdogo wangu una akili na bahati.Ahaaa ishu Iko ivi mzee alikat moto alituachia Mali ziko na Maza ,mimi Maza akaniachia mashne ya kusaga niendeshe pesa zangu
Baadae nikaingia kwenye kilimo Cha viaz kule ndo nlikokuzia mtaji fasta lakin sipend kilimo mana nikazi ngumu sana ndomana natak niingie kweNy biashara
AsantePambana kwenye kilimo na jinsi unavyoenda utapata uzoefu zaidi na kuelewa mambo mengi zaidi
Sio kilimo tu pia huko huko kwenye kilimo utaongeza na ufugaji wa mbuzi na kuku
Usiache kilimo maana hata ushuru ni mdogo na mwingine huhitaji kugombana na TRA kila kukicha
Ukitaka kuota mvi na stress fungulia duka hao jamaa
Kwa ushauri wa mwisho fuga na huku unaendelea na kilimo pamoja na machine yako ya Unga na pumba kwa ajili ya kuku na mbuzi
Ongeza shamba lako kubwa na uwaweke humo
Mashine yako iko wapi?Ahaaa ishu Iko ivi mzee alikat moto alituachia Mali ziko na Maza ,mimi Maza akaniachia mashne ya kusaga niendeshe pesa zangu
Baadae nikaingia kwenye kilimo Cha viaz kule ndo nlikokuzia mtaji fasta lakin sipend kilimo mana nikazi ngumu sana ndomana natak niingie kweNy biasharaView attachment 2696001
Mimi ni kijana wa miaka 25,katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme . Sasa naombeni muongozo ( kupat mlango,kuagiza mzigo,maeneo mazuri ya kuchukulia mzigo Kwa dar,na location ya office za usafirishaji)Kwa anaye jua a to z juu ya mambo ninayotakiwa niyafate ili nifanikiwe kufngua Hilo duka nipo njombe mjini.
...sioni sehem ya kueditia title mnisamehe ila bila shaka najua ukisoma utanielewa...
Nimekuelwa sana shukraniKijana,
Cha kukushauri n hiki,15M n capital nzur na inaweza kukupeleka pazur kama ukiwa mwangalifu vingnevyo utarud zero na kuifkia capital hyo kwa miaka hii haitakua rahisi
1.Fanya kuongeza vyanzo vya mapato (income streams),kama mshine bado ipo usiuze kama pana biashara boresha ofisi,rekebisha mashine au nunua nyingne ongeza na kukoboa weka kijana nafkir hapo teyar umekaa muda unasoko /wateja.
2.kama unapenda electronics wekeza kias flan kat ya 5-7M upate uzoefu kwanza utaongeza mraji kdgkdg
3.kilimo usiache unaweza kupunguza kias cha eneo ukawekeza kama 5M na ukawa unaweka vibarua mana umesema inachosha ,huku napo mtaji utakua polepole
Nafkir vyote haviwz kukutupa ,kwa maana hii hautalala njaa…
Nakusihi mdg wangu,usiwekeze pesa zote kwenye biashara 1….
Fungua pharmacy au pembejeo za kilimoMimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme.
Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo mazuri ya kuchukulia mzigo Kwa dar, na location ya office za usafirishaji).
Kwa anaye jua A to Z juu ya mambo ninayotakiwa niyafate ili nifanikiwe kufungua hilo duka nipo njombe mjini.