Nina mtaji wa Tsh. Million 15, nahitaji muongozo

Nina mtaji wa Tsh. Million 15, nahitaji muongozo

Pambana kwenye kilimo na jinsi unavyoenda utapata uzoefu zaidi na kuelewa mambo mengi zaidi

Sio kilimo tu pia huko huko kwenye kilimo utaongeza na ufugaji wa mbuzi na kuku

Usiache kilimo maana hata ushuru ni mdogo na mwingine huhitaji kugombana na TRA kila kukicha

Ukitaka kuota mvi na stress fungulia duka hao jamaa

Kwa ushauri wa mwisho fuga na huku unaendelea na kilimo pamoja na machine yako ya Unga na pumba kwa ajili ya kuku na mbuzi

Ongeza shamba lako kubwa na uwaweke humo
Mimi ni msomaji tu ila mkuu ubarikiwe umempa kijana ushauri mzuri sana

Itabidi na mimi siku nikipata pesa ya kutosha kulingana na kazi yangu nikikosa msaada wa biashara ya kufanya nitakucheki

Maana hii kazi niifanyayo muda wowote inaweza kuota mbawa
 
Hakika ww ni muungwana na mpambanaji w kweli. Nimependa majibu yako.
Asante
Mkuu Wangu mi sijaona sababu ya kutumia nguvu nyingi kwake kumjibu.
Uhalisia uko hivo.
Fanya kazi na watu wote, kwani kila mtu ana Impact yake kwenye company husika.
Hata mpuuzi wakati mwingine msikilize ana mchango.
 
Niseme nimeingia kutafut pesa mtaan mwak 2020 vyanzo vyang by mapay vimkuw mashn y kusag,kupig mahnd na kilimo ambch nimlim miak miwill.All in all itategmea bei ya viaz
Nb ekar 3 zinatosh kukupa 15m na ekar moj hugarim 1 mpak 1.5 milion kulim inategemea Bei ya pembjeo
Upo mkoa gan
 
Back
Top Bottom