Nina mtaji wa Tsh. Million 15, nahitaji muongozo

Endeleza kwenye hizo mashine mkuu utanishukuru baadae
 
Ebu elezea ilikuaje icje ikawa CHAI!
Sio Chai kaka
Yani Jamaa ni Mfanyabiashara mzuri tu, sasa akapewa deal la kwenda kulima Mahindi Mpanda
Akatenga kama 200M .

Akashuka kutoka lake zone akachukua uelekeo mpaka kusini mwa Tanzania
Akalima fresh sasa yamekua na maendeleo mazuri baadae mvua zikazngua
Alipata hasara kubwa sana na Equity kulikua na deni la hela kadhaa ...
Kilimo ntalipa Kwa kununua
 
Duh so sad mkuu ,naamin mlimpa therapy kidogo kisaikolojia
 
sasa mzee kufanya project kubwa hivo ya kilimo uku ukitegemea mvua si ndo tuna hitaji ujuha huo?
kabla huja ingia kwenye kilimo hakikisha kuna source ya uhakika ya maji iwe ni kisima,mto,bwawa,maji ya kuvuna etc...
yaani uwekeze more than 150M kwenye kilimo cha kutegemea mvua only in bongo ndo utakutana na mambo kama haya
 
Ndo hvo Home Boy, Tulipotea Mchezoni
 
Kumbe una Chimbo linakupa pesa, ongeza bidii hapohapo,ongeza ekari 6 sasa then next year nyingine 6 mpaka zifike 100
 
200m alafu unategemea mvua aiseee watu ni majasiri duh
 
Kule Home Boy mwanzo tulitest kama 50M hivi ikaleta mambo mazuri sana ila tuliambiwa Mara ushirikiana asee.
Information is more than Cash kwenye Uwekezaji.
Hiyo 50mil ni kama bahati tu mliponea chupuchupu
200mil ilitakiwa kuwe na miundombinu kabisa masuala ya kutegemea mvua hayakupaswa kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…