Nina mtaji wa Tsh. Million 15, nahitaji muongozo

Mimi ni msomaji tu ila mkuu ubarikiwe umempa kijana ushauri mzuri sana

Itabidi na mimi siku nikipata pesa ya kutosha kulingana na kazi yangu nikikosa msaada wa biashara ya kufanya nitakucheki

Maana hii kazi niifanyayo muda wowote inaweza kuota mbawa
 
Hakika ww ni muungwana na mpambanaji w kweli. Nimependa majibu yako.
Asante
Mkuu Wangu mi sijaona sababu ya kutumia nguvu nyingi kwake kumjibu.
Uhalisia uko hivo.
Fanya kazi na watu wote, kwani kila mtu ana Impact yake kwenye company husika.
Hata mpuuzi wakati mwingine msikilize ana mchango.
 
Upo mkoa gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…