Nina mwaka wa 5 kwenye ndoa mke wangu hajawahi nisikia nikijamba.

Nina mwaka wa 5 kwenye ndoa mke wangu hajawahi nisikia nikijamba.

Mi nachukulia kama jambo la siri
Eeeh utafanyeje hivyo mtu akusikiee mazee.
Hembu tujieshimuni bana ukijisikia toka nje
Sii lijitu unalitoa tu mbele za watu tena wakati wa Kula ni ntaacha Kula nkikusikia
Tena tukiwa tunakula naliachia kwa staili ya kubinua kidogo kalio moja na kusikilizia kasauti fyuuuuuuu.

Ukitoka nje na kususa kula mimi nafaidi menu peke yangu.
 
Kwa hivyo hilo ndilo jambo pekee ulilofanikiwa kwenye maisha yako?
 
Mimi huwa namtifulia ya masafa marefu, adi siku izi tukija na chips anajifungia ndani adi amalize kula ndio ananifungulia. Anadai siaminiki kwani wakati wowote namlipulia shuuzi.
Huna ushuzi kijana, wenye mashuzi ya maana tumetulia tu.
 
Kwani

Kwani lina tatizo gani mkuu?
Halina tatizo ila lina maana fulani ambayo ilikufanya ulichague liwe ID yako.

Basi haina shaka mkuu hiyo maana iwe tu privacy kama kawaida yetu humu
 
Kula sana mayai ya kuchemsha karanga maharage na kachumbali yenye vitunguu swaumu vingi apo utajamba to mbele ya mkei
Aongezee mihogo mibichi na maziwa ya mtindi. Halafu anywe vijiko viwili vya chakula vya olive oil.......
 
Nilimwambia mama watoto ucjambe puuuu akadai ooo tumbo linamsumbua, nkasema ngoja nimpe funzo nilikitoa kile cha kimya kimya akaanza kuona tu mbu wanalewa wanakufa, mijusi wanadondoka toka kwenye paa wanagaragara, mtoto alipoingia tu mlangoni akalewa akanyong'onyea apo apo, yeye waifu kabla hajaongea kitu akahisi hewa inambana akazirai, mi nikaamka nikajikung'uta makalio nikafungua madilisha na milango nikamsikia jirani anaguna kuku wakatahamaki ka wameona mwewe, nikarudi ndani kumpepea waifu

Alivoamka nkamwambia nikikwambia jambo nickilize UCJAMBE KWA SAUTI
 
We we

Wewe unatakiwa ukutane na mimi mkuu. Tujambe wee mpaka mwenyewe ukimbie.
 
Back
Top Bottom