Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Mmmmh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena tukiwa tunakula naliachia kwa staili ya kubinua kidogo kalio moja na kusikilizia kasauti fyuuuuuuu.Mi nachukulia kama jambo la siri
Eeeh utafanyeje hivyo mtu akusikiee mazee.
Hembu tujieshimuni bana ukijisikia toka nje
Sii lijitu unalitoa tu mbele za watu tena wakati wa Kula ni ntaacha Kula nkikusikia
Hapana, huwa sijambi mkuu.Wewe ni muongo, unajambaga sana ukiwa usingizini, na mkeo anakusikiaga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anafanya usiku afu anasingizia hajawahiJipe moyo hivyo hivyo ukilala mkeo anasema unajamba hatareeee😉😀😀😀
Aisee umenikera mkuu, ungekuwa karibu ningekujambia usoni.Mwambie akutie kidole katikati ya makalio yako,utajamba tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]khaaàaAisee umenikera mkuu, ungekuwa karibu ningekujambia usoni.
Huna ushuzi kijana, wenye mashuzi ya maana tumetulia tu.Mimi huwa namtifulia ya masafa marefu, adi siku izi tukija na chips anajifungia ndani adi amalize kula ndio ananifungulia. Anadai siaminiki kwani wakati wowote namlipulia shuuzi.
Mkuu ulifikiria nini hadi ukasajili hilo jina kwenye ID yako?Aisee umenikera mkuu, ungekuwa karibu ningekujambia usoni.
Kwani lina tatizo gani mkuu?Mkuu ulifikiria nini hadi ukasajili hilo jina kwenye ID yako?
Halina tatizo ila lina maana fulani ambayo ilikufanya ulichague liwe ID yako.Kwani
Kwani lina tatizo gani mkuu?
Aongezee mihogo mibichi na maziwa ya mtindi. Halafu anywe vijiko viwili vya chakula vya olive oil.......Kula sana mayai ya kuchemsha karanga maharage na kachumbali yenye vitunguu swaumu vingi apo utajamba to mbele ya mkei
Wewe unatakiwa ukutane na mimi mkuu. Tujambe wee mpaka mwenyewe ukimbie.Nilimwambia mama watoto ucjambe puuuu akadai ooo tumbo linamsumbua, nkasema ngoja nimpe funzo nilikitoa kile cha kimya kimya akaanza kuona tu mbu wanalewa wanakufa, mijusi wanadondoka toka kwenye paa wanagaragara, mtoto alipoingia tu mlangoni akalewa akanyong'onyea apo apo, yeye waifu kabla hajaongea kitu akahisi hewa inambana akazirai, mi nikaamka nikajikung'uta makalio nikafungua madilisha na milango nikamsikia jirani anaguna kuku wakatahamaki ka wameona mwewe, nikarudi ndani kumpepea waifu
Alivoamka nkamwambia nikikwambia jambo nickilize UCJAMBE KWA SAUTI