Nina mwanamke mwenye maneno makali sana. Nishaurini, naona amevuka mipaka

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nina mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo

Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwanaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhimu silali nje

Nikashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁

Nikajiuliza kuna mwanaume sio rijali anadindisha na kuvunja bikra na kuhudumia familia vizuri kweli

Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali

Akili zimemrudi anataka yaishe je kama ni wewe huuyu unaweza mrudisha
 
Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nnna mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo

Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwnaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhim sihalala nnje

Nkashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁

mimi mwanamke akinipa kauli kwa mfano kama, " wewe ulinioa mimi kwa bahati mbaya " au kwanza wewe sio level yangu kiuhalisia hata hisia tu huwa inakata namuona kama dada yangu.............
 
Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nnna mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo

Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwnaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhim sihalala nnje

Nkashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁

Nikajiuliza kuna mwanaume sio rijali anadindisha na kuvunja bikra na kuhudumia familia vizuri kweli

Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali

Akili zimemrudi anataka yaishe je kama ni wewe huuyu unaweza mrudisha
wapumbavu wote wawili. wewe na huyo mke wako.
 
Mkuu kwanza nakupa hongera kwa kumtoa bikra ya mbususu ila kitu kimoja ambacho umesahau ni kumtoa bikra ya ubongo Yani kuzaba Kofi moja matata ambalo litamzimisha kwa sekunde kadhaa acha ujinga kaza mtoto wa kiume...mtoe Loki ya ubongo atakuheahimu oveeeeer
 
Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nnna mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo

Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwnaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhim sihalala nnje

Nkashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁

Nikajiuliza kuna mwanaume sio rijali anadindisha na kuvunja bikra na kuhudumia familia vizuri kweli

Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali

Akili zimemrudi anataka yaishe je kama ni wewe huuyu unaweza mrudisha

Samahani bro.
Ila kiufupi. Umeoa Mwanamke Hana akili. Based na hiyo Kauli yake kuwa ww sio Rijali. ( ila usipuuzie hili, chunguza kwanini kaongea, usikute tafsiri yake ya urijali sio Kudindisha ila ni kumfanya mara 3 kwa siku nk).

Pili , Bikra sio kigezo pekee cha Kuwa mke bora.

Kingine, Pengine ni Mawivu yalimpanda akahisi umechelewa labda ulikuwa kwa mwanamke mwingne.
kwahiyo Next time ukichelewa toa taarifa.
 
Chati na "AI" itakupa ushauri mzuri tu Brother,
Nenda kwenye Google chrome, gusa AI mode, kisha ipige maswali wewe....
 
Back
Top Bottom