Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Best solution noted!.Usibishane mkuu mpe muhogo anatulia
Best solution noted!.Usibishane mkuu mpe muhogo anatulia
Kamzidi mbali sanaHuyo Binti kakuzidi akili, issue ndogo kama iyo unampigia baba yake?
Kwamba wee siyo rijali !!Nkashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁
Nimeelewa vitu vichache hapa vya msingi..Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nnna mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo
Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwnaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhim sihalala nnje
Nkashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁
Nikajiuliza kuna mwanaume sio rijali anadindisha na kuvunja bikra na kuhudumia familia vizuri kweli
Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali
Akili zimemrudi anataka yaishe je kama ni wewe huuyu unaweza mrudisha
mimi nimemtusi mtoa mada na siyo wewe. wewe ni Mwizukulu mgikuru na mtoa mada ni LICHADIkwanini unanitusi mkuu?.....
Mtoto huyoInaonekana tu mkeo kakuzidi akili.
Malizia ana Mwamba aliyewahi "ku-perfom" vizuri kwenye vigezo vyake na akifanya comparative analysis kwako anaona daah!.. bado sana.Una hakika hiyo bikra uliyomtoa ni halisi, siyo feki?
Ukute ana mwamba anayempelekea 🔥 wa uhakika zaidi yako broo
Msaidieni ushauri jamaa au achati na "AI" huku tutamuumizaWewe endelea tu kumtishia kumpiga chini! Siku akienda kwa huyo rijali wake, humpati tena.
inakuwa X=Yungempiga shoo ya kibabe tu
Si tunaambiwaga tuoe bikra sasa na huko moto unawaka Mungu tusaidieNdugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nnna mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo
Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwnaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhim sihalala nnje
Nkashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁
Nikajiuliza kuna mwanaume sio rijali anadindisha na kuvunja bikra na kuhudumia familia vizuri kweli
Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali
Akili zimemrudi anataka yaishe je kama ni wewe huuyu unaweza mrudisha
Hizo ndio Bikra ninazotaka😅😅Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nnna mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo