Nina mwanamke mwenye maneno makali sana. Nishaurini, naona amevuka mipaka

Jf akili zenu mnazjua wenyewe, juzi nikasema nimempitishia wife kofi baada ya kwenda kinyume na matakwa yangu watu wakaanza ati mwanamke hachapwi cjui nin na blah blah nyingi. Leo hapa nashangaa mtu anasema mchape mara piga chini na ni nyie nyie mlisema mwanamke hachapwi. Humu ndan kuna ujinga wa mwaka watu wamejaa cjui akili zimejaa nin.
 
Mkuu kwanza nakupa hongera kwa kumtoa bikra ya mbususu ila kitu kimoja ambacho umesahau ni kumtoa bikra ya ubongo Yani kuzaba Kofi moja matata ambalo litamzimisha kwa sekunde kadhaa acha ujinga kaza mtoto wa kiume...mtoe Loki ya ubongo atakuheahimu oveeeeer
Acha ujinga wewe umtoe loki akikufia hapo?
Unampiga kiumbe ambacho unajua hawezi kupambana na wewe.

Mwanaume yeyote anayempiga mwanamke kwa sababu yeyoye ile kwangu namuona kama psychopath.

Mbinu zipo kibao za kiume kumkabili mwanamke pasua kichwa sio kupiga
 
Huwajui wanawake wewe tena tulia kabisa mkuu kwa sisi tuliopita na wanawake zaidi ya mmoja, wewe itakuwa katika maisha yako umekuwa na mwanamke mmoja tu ila kwa aliopita zaidi ya mahusiano mawili atajua kwa nini inafika hatua unamzibua makofi maana hata Mimi nilikuwa kama wewe tu kusema siwezi kumpiga mwanamke
 
Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nina mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo

Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwanaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhimu silali nje

Nikashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁

Nikajiuliza kuna mwanaume sio rijali anadindisha na kuvunja bikra na kuhudumia familia vizuri kweli

Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali

Akili zimemrudi anataka yaishe je kama ni wewe huuyu unaweza mrudisha
Hiyo "birika" ulivyovunja ilikuwa ya Kichina.
 
Huwajui wanawake wewe tena tulia kabisa mkuu kwa sisi tuliopita na wanawake zaidi ya mmoja, wewe itakuwa katika maisha yako umekuwa na mwanamke mmoja tu ila kwa aliopita zaidi ya mahusiano mawili atajua kwa nini inafika hatua unamzibua makofi maana hata Mimi nilikuwa kama wewe tu kusema siwezi kumpiga mwanamke
Nikushauri acha huo ujinga itakughalimu siku moja
 
Kuna tofauti ya kupigwa na kuumizwa mkuu, ukijua tofauti hizo utanielewa bila hivyo utakuwa unalala nje Kila siku kuepuka kumpiga mwanamke kisa kakwambia "kama wewe mwanaume kweli niguse"😀😀
 
Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nina mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo

Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwanaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhimu silali nje

Nikashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁

Nikajiuliza kuna mwanaume sio rijali anadindisha na kuvunja bikra na kuhudumia familia vizuri kweli

Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali

Akili zimemrudi anataka yaishe je kama ni wewe huuyu unaweza mrudisha
Pole sana mkuu kwa kugongewa
 
Kuna tofauti ya kupigwa na kuumizwa mkuu, ukijua tofauti hizo utanielewa bila hivyo utakuwa unalala nje Kila siku kuepuka kumpiga mwanamke kisa kakwambia "kama wewe mwanaume kweli niguse"😀😀
Acha hiyo tabia mkuu, usimpige mwanamke jitahidi kujizuia kwa namna yeyote ile akikukwaza acha mara moja hiyo tabia utakuja kunishukuru
 
Namrudisha tu kama kuna haya mambo matatu:

1. Ameomba msamaha kwa dhati, si kwa sababu anaogopa kuachwa.

2. Ameonyesha yuko tayari kubadilika, hasa kwenye matusi na dharau wakati wa hasira.

3. Tumeweka mipaka wazi kwamba ugomvi hauhalalishi kumdhalilisha mwenzako.

Kumtunza, kuwa mume/mwenza mzuri, au kuvunja ubikira wake hakumfanyi awe na deni la kukuheshimu, na yeye pia hana haki ya kukutukana kwa sababu amekasirika.

Msamaha unaweza kutolewa, lakini kurudiana kunahitaji mabadiliko si maneno tu.
 
amejuaje mwanaume rijali yuko vp kama we ndo wakwanza kwake?!
Swali la kizembe sana hili,
Kwahiyo akiwa wa kwanza ndo hawezi kuchitiwa?

Kifupi mwanamke kachit na kagundua utofauti.
b8d3985a4454932588b2e00a9b5cc9cc~2.jpg
 
Msamehe maana ulimkuta ni bikra hajui maana ya rijali itakua ametoka nalo mtaani....
 
Samahani bro.
Ila kiufupi. Umeoa Mwanamke Hana akili. Based na hiyo Kauli yake kuwa ww sio Rijali. ( ila usipuuzie hili, chunguza kwanini kaongea, usikute tafsiri yake ya urijali sio Kudindisha ila ni kumfanya mara 3 kwa siku nk).

Pili , Bikra sio kigezo pekee cha Kuwa mke bora.

Kingine, Pengine ni Mawivu yalimpanda akahisi umechelewa labda ulikuwa kwa mwanamke mwingne.
kwahiyo Next time ukichelewa toa taarifa.
Hao wamekutana wote chenga pipa na mfuniko.
Angalia pale aliposema kachelewa mke anahoji halafu anamjibu "mimi ni mwanaume nina maamuzi ya kurudi muda ninaotaka" hapo mwanamke lazima apaniki na kuongea chochote.
Kwa mwanaume anayejielewa angejibu hivi"mke wangu leo nilibanwa na majukumu mengi ndio maana unaona nimechelewa kumbuka natafuta pesa kwa ajili yako na familia yetu kwa ujumla" basi kesi ingeisha
 
Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nina mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo

Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwanaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhimu silali nje

Nikashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁

Nikajiuliza kuna mwanaume sio rijali anadindisha na kuvunja bikra na kuhudumia familia vizuri kweli

Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali

Akili zimemrudi anataka yaishe je kama ni wewe huuyu unaweza mrudisha
Mtu anakupanda kichwani bado unaomba ushauri🌚
 
Mkuu kwanza nakupa hongera kwa kumtoa bikra ya mbususu ila kitu kimoja ambacho umesahau ni kumtoa bikra ya ubongo Yani kuzaba Kofi moja matata ambalo litamzimisha kwa sekunde kadhaa acha ujinga kaza mtoto wa kiume...mtoe Loki ya ubongo atakuheahimu oveeeeer
Hii picha yako kwenye Avatar yako imenichekesha sana.
 
Back
Top Bottom