Inaonekana tu mkeo kakuzidi akili.Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali
mimi mwanamke akinipa kauli kwa mfano kama, " wewe ulinioa mimi kwa bahati mbaya " au kwanza wewe sio level yangu kiuhalisia hata hisia tu huwa inakata namuona kama dada yangu.............Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nnna mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo
Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwnaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhim sihalala nnje
Nkashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁
Nikajiuliza kuna mwanaume sio rijali anadindisha na kuvunja bikra na kuhudumia familia vizuri kweli
Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali
Akili zimemrudi anataka yaishe je kama ni wewe huuyu unaweza mrudisha
wapumbavu wote wawili. wewe na huyo mke wako.Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nnna mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo
Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwnaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhim sihalala nnje
Nkashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁
Nikajiuliza kuna mwanaume sio rijali anadindisha na kuvunja bikra na kuhudumia familia vizuri kweli
Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali
Akili zimemrudi anataka yaishe je kama ni wewe huuyu unaweza mrudisha
so sadmimi mwanamke akinipa kauli kwa mfano kama, " wewe ulinioa mimi kwa bahati mbaya " au kwanza wewe sio level yangu kiuhalisia hata hisia tu huwa inakata namuona kama dada yangu.............
imeisha pamoja na kuambiwa si rijali? ungekuwa wewe umeambiwa hivyo, ungekaa tu kimya na kumshushia shoo kabambe?Pole sana.
Hapo wala hapakuwa na kesi. Ungemwambia tuu jinsi ulivyommiss na jinsi ulivyoharakisha kazi huko duniani ili uwahi kumwona njiwa wako. Kesi inakuwa imeisha.
Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nnna mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo
Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia mimi ni mwnaume kuchelewa kurudi ni kawaida kwenye utafutaje awe na heshima cha muhim sihalala nnje
Nkashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁
Nikajiuliza kuna mwanaume sio rijali anadindisha na kuvunja bikra na kuhudumia familia vizuri kweli
Nikampigia sim baaba yake mwanae nampiga chini amtafutie huyo rijaali
Akili zimemrudi anataka yaishe je kama ni wewe huuyu unaweza mrudisha
kwanini unanitusi mkuu?.....wapumbavu wote wawili. wewe na huyo mke wako.