Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Unaweza kuwa na elimu ambayo mimi sina

MKuu naomba kufahamu jina lina m LIMIT vipi mtu asitimize ndoto zake. Kwa mtazamo wangu naona ni ishu ya kuwa Hardworking,creative, Right people,Capital, support........nk
Huwezi ukaamua kujiita maskini wakati hapo hapo unataka utajiri au una ndoto zakuwa tajiri? Sawa nakujaza maji kwenye gunia huku ukiwa na mategemeo gunia kujaa maji

Ni ngumu pengine kuweza kunielewa, ila yahitaji ufikiri wa nje ya box
 
Mbona jamaa anajiita zero brain wa Ticktock anakimbiza na kuna tetesi kuwa ndo mzalishaji maudhui anayelipwa hela nyingi Sana Tanzania.

Kuna watu wanaitwa

Baraka
Neema

Lakini hakuna kinachotokea kwao so is nothing
 
Nina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..

Naamini Mungu yupo

Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..

Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.

Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.

Sema kwa sauti unataka nini usiogope.

Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza

Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.

Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected.

Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA

Papii kocha Song Waambie
Endelea kuota mkuu ila saa 10 usiku sais alfajiri inakaribia
 
Back
Top Bottom