Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Naitaji maoni yako huku
Endelea tu 🤣. To each his own.. we'll meet at the top.
 
Nina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..

Naamini Mungu yupo

Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..

Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.

Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.

Sema kwa sauti unataka nini usiogope.

Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza

Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.

Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected.

Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA

Papii kocha Song Waambie
POOR BRAIN
 
Mapema kabisa mkuu
 
Hilo jambo lipo sana na si bongo tu. Na hata kama ni Bongo tu kwani mhusika anatokea wapi na harakati zake za mafanikio ataanzia wapi? Si hapa hapa!? Anyway Poor Brain nisikuharibie uzi na kukutoa relini kwa ubishani ambao utakuja Kuthibitisha siku. You do you. Una malengo mazuri sana
Ndio mkuu nina malengo ila kwenye jina hapo .
Ngoja tuone
 
Wakuu naona mood wamefuta uzi wangu aiseeee daaah
 
DR HAYA LAND kuna kitu nilitaka ku share kwa vijana wenzangu ila ndio hvo haya mambo naona wana yaficha sana aiseeeee
 
Uzi huo Nimeusoma

SAbabu ya kuufuta inaweza kua ni wao Moderator wameuona kwa view ya kuamasisha na ku influence vijana kwenye mambo ya Betting na numerology. Ndo wakaona wauondoe

#Tuko pamoja
Duuuuh mbona hatareee hiyooo
 
Nina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..

Naamini Mungu yupo

Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..

Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.

Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.

Sema kwa sauti unataka nini usiogope.

Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza

Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.

Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected.

Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA

Papii kocha Song Waambie
Badilisha ID yako iyendane na ndoto, kitu kidogo ila kinamaa kubwa sana kwako
 
Back
Top Bottom