Endelea tu š¤£. To each his own.. we'll meet at the top.Naitaji maoni yako huku
MJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako
Wale watu wa spiritulity na imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hii mada " maneno/jina lina nguvu ili ufikie au usifikie malengo yako". uwa mna siri gani hamuisemi? Kumekua na hii ishu ya watu kumwambia mtu eti " kwa izo ndoto ulizo nazo na unavyo jiita hutazifanikisha badili...www.jamiiforums.com