Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Unaweza kuwa na elimu ambayo mimi sina

MKuu naomba kufahamu jina lina m LIMIT vipi mtu asitimize ndoto zake. Kwa mtazamo wangu naona ni ishu ya kuwa Hardworking,creative, Right people,Capital, support........nk
Huwezi ukaamua kujiita maskini wakati hapo hapo unataka utajiri au una ndoto zakuwa tajiri? Sawa nakujaza maji kwenye gunia huku ukiwa na mategemeo gunia kujaa maji

Ni ngumu pengine kuweza kunielewa, ila yahitaji ufikiri wa nje ya box
 
Mbona jamaa anajiita zero brain wa Ticktock anakimbiza na kuna tetesi kuwa ndo mzalishaji maudhui anayelipwa hela nyingi Sana Tanzania.

Kuna watu wanaitwa

Baraka
Neema

Lakini hakuna kinachotokea kwao so is nothing
 
Endelea kuota mkuu ila saa 10 usiku sais alfajiri inakaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…