TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Unaweza kuuzia bidhaa yaani ukaligeuza kuwa duka linalotembea kufuata wateja walipo au lililosimama kusubiria wateja wajeHabar wakuu, kuna gari Aina ya noah zile za zamani, Sasa najiuliza ni biashara gani niweze kufanya ili niweze kupata pesa kwa kutumia hii gari... Kumbuka kwa usafiri kwa hapa Dar es salaam imekatazwa...naombeni mawazo yenu wakuu, na mungu atawabariki.., au kama kuna connection yoyote ile ya namna ya kuitumia hii gari nijulishe. Mimi napatikana hapa Dar, na hiyo gari pia ipo hapa hapa Dar.
Mkuu nashukuru kwa ushauri huuu.,....je unaweza kunisaidia ni Aina ganiii ya biashara naweza kufanya ikanipa faida, nikapata pesa ya mafuta.Unaweza kuuzia bidhaa yaani ukaligeuza kuwa duka linalotembea kufuata wateja walipo au lililosimama kusubiria wateja waje
Mkuu nashukuru kwa ushauri huuu.,....je unaweza kunisaidia ni Aina ganiii ya biashara naweza kufanya ikanipa faida, nikapata pesa ya mafuta.
Fanyia kazi wazo hili hutojutia.Uza noah nunua ist fanya uber
Peleka babati inalipa sanaHabar wakuu, kuna gari Aina ya noah zile za zamani, Sasa najiuliza ni biashara gani niweze kufanya ili niweze kupata pesa kwa kutumia hii gari... Kumbuka kwa usafiri kwa hapa Dar es salaam imekatazwa...naombeni mawazo yenu wakuu, na mungu atawabariki.., au kama kuna connection yoyote ile ya namna ya kuitumia hii gari nijulishe. Mimi napatikana hapa Dar, na hiyo gari pia ipo hapa hapa Dar.
bonge moja ideafanya food truck kitu kipya bongo
View attachment 1953795
View attachment 1953796
View attachment 1953797
Wee bhana hebu tuletee kwanza picha nikupe wazooWengine mnasemaje wadau