Nina Noah, ni biashara gani niweze kufanya?

Nina Noah, ni biashara gani niweze kufanya?

Picha yenyewe ili ni jue ni aina gani ili ninapokupa wazo liendane na hiyo gari
Okkk....nitakutumia mkuu....kwa Sasa natumia kisimu chenye uwezo ndogo...kifupi ni noah old model, sr40
 
Wee bhana hebu tuletee kwanza picha nikupe wazoo
IMG-20210818-WA0017.jpg
 
Habar wakuu, kuna gari Aina ya noah zile za zamani, Sasa najiuliza ni biashara gani niweze kufanya ili niweze kupata pesa kwa kutumia hii gari... Kumbuka kwa usafiri kwa hapa Dar es salaam imekatazwa...naombeni mawazo yenu wakuu, na mungu atawabariki.., au kama kuna connection yoyote ile ya namna ya kuitumia hii gari nijulishe. Mimi napatikana hapa Dar, na hiyo gari pia ipo hapa hapa Dar.
Tafuta day care au shule ubebe wanafunzi malipo kwa mwezi, karibu kwenda kwenye shule za kishua, walimu waongee na wazaz Kama wanauitaji.sio wote wanapanda mabas ya njano.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
1. Wahi kwenye vituo vya daladala asubuhi sana na pakia watu wapeleke wanapokwenda...

2. Igeuze kua duka... Weka bidhaa simamisha sehemu anza kuuza...


Ngoja waje kukupa muongozo...
Bidhaa gani za kuuza?
 
Back
Top Bottom