Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mkuu unaambiwa hata pakupita kuingia ndani ya hiyo nyumba hapapo.Kama ni eneo kuna watu wengi na wanaendelea kuongezeka haiwezi kukutupa.
1. Nakushauri usiwe na haraka ya kuuza, fanya kama vile hiyo m5 ilipotea hivyo haipo tena.
2. Ipangishe hata kwa hiyo hiyo elfu 10 halafu subiri muda utakupa majibu. Ukarabati mruhusu mpangaji afanye mtakatana kwenye kodi, hata akifanya ukarabati wa kukaa bure miaka 5 usihofu muache ila fanya ukaguzi wa mara kwa mara usiitelekeze.
Nimefanya sio mara moja na mwishoni nilicheka kwa furaha kwa kuwekeza kwenye ardhi.
Unless eneo liwe huko nyantumbi ambapo hapakui pamedumaa.
Kila mtu kajenga hadi mwisho wa Ukuta.
Ndio maana walimwuzia mil 5.
Sehemu ya kueleweka hakuna bei hiyo hata kama ni uswazi.
Sehemu ya kuelewekq hata kama ni uswazi Chumba ni elfu 40 hadi 50.
So kwa vyumba vitatu angekuja 150,000 mara 12 anapata almost ,3M.
Ambayo ni hela nzuri.
Uwekezaji kwenye nyumba unaingiza pesa kidogo bora viwanja