Nina nyumba uswahilini inatengeneza Tsh. 40,000/- kwa mwezi, niendelee au napoteza muda?

Mimi ninayo Moja sema ya urithi Imezungukwa Kila pande na Kila jirani kajenga hadi mwisho wa eneo lake.

Bahati nzuri Ina kaeneo kidogo unaweza Jenga chumba na sebule hata kuchimba shimo jipya kubwa tu

Ila utoke hapo kwenge mtaani lazima upite kwenye eneo la mtu[emoji2].

Hakauziki, sababu wanunuaji Kila wakija wanadai barabara kutokea hapo na haipo. [emoji2]

Kukarabati uvivu, maana Kako uswazi hata vyumba Bei za kimasikini.

Nimekaacha kanaozeana miaka na miaka kutu kwenye bati, shoti zinapiga.

Wapangaji wanalipa 150k kwa mwezi. At
 
Yaan 150k kwamwezi bado unaona kajumba hakalipi [emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli kila mtu na hadhi yake
40k vs 150k
 
Hii ilinikuta mm niliingia kichwa kichwa nikajenga vyumba vya kupangisha kwa zaidi ya M 40 kuja kupiga hesabu ya kurudisha hiyo pesa nikaona kuwa itanichukua miaka 20 kuja kurudisha pesa yangu nikauza nikafanya mambo mengine.
 
Jengo uliuza sh ngap
 
Mkuu mi na mawazo tofauti kidogo.

Kama hiyo nyumba imezungukwa kila sehemu, basi vunja hiyo nyumba halafu patengeneze kuwe sehemu ya kupumzikia / zile playground za watoto.

Najua majirani hao hawakosi watoto, kwahiyo watapenda tu kuja kupoteza mda hapo na utakuwa unawachaji hela ndogo tu.

Hiyo ikiwezekana utaweka na viti vya wakubwa na unaweza kuuzwa vinywaji hata na hizi bites.

Watoto wakiwa wengi unaweza kuanzisha / kufungua / kuweka Playstations watoto watacheza tu.

Hapo cha msingi ni kucheza na majirani waliokuzunguka ili upate faida kila mwezi.

unajua hairuhusiwi kumchezesha game mtoto chini ya miaka 18??
 
Yaan 150k kwamwezi bado unaona kajumba hakalipi [emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli kila mtu na hadhi yake
40k vs 150k
Ni kweli mzee hio Bei hailipi kabisa maana nyumba ni kubwa sema tu Imezungukwa na watu Kila kona.

Yaani siku ukigombana na mwenye nyumba ya mbele akiziba tu njia hamtoki [emoji2]

Kuna nyumba zinalipa hadi jiwe kwa mwezi.

150k Hela ndogo sana.

Usibaki kinyonge.
 
Nakushauri tulia.

Uhalisia uko hivi.
Uliwekeza kwenye biashara ambayo thamani yake ni Kam tsh 5mil, na inakupa faida tsh elfu 40 Kila mwezi baada ya kutoa gharama za uzalishani na Kila kitu. Unatakiwa na tsh 40 elfu.
Na baada ya kutoa gharama za uzalishani bado mtaji haujakata upo pale pale tsh 5mil.
Ila mtaji unongezeka thamani Kila siku.(nyumba inaongezeka thamani Kila siku).

Nakushauri usithubutu kuiuza hiyo ni asset Moja matata.
Inaongezeka thmani Kila siku.
Kama huaminijaribu kuiuza uone.
 
Bad investment mpk milllion zako 5 zirudi utakuwa ushazeeka
Niuwekezaji wa kawaida kabisa kwa nyumba,,,coz mfano mtu ambae amejenga nyumba yake kwa mil 50 alafu akapangisha kwa mwezi laki 4 ,,na mtu aliejenga nyumba kwa mil 100 na akapangisha kwa laki 8 ,,,,na huyu jamaa aliejenga kwa mil 5 anapata elf 40 kwa mwezi

Kimahesabu wote hawa wanapata % sawa ya faida,,, kwahyo kwenye uwekezaji wa nyumba ni kitu cha kawaida kabisa kwa return hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu wa elf 40 hadi aje atoboe kazi anayo
 
Nakushauri tulia.

Uhalisia uko hivi.
Uliwekeza kwenye biashara ambayo thamani yake ni Kam tsh 5mil, na inakupa faida tsh elfu 40 Kila mwezi baada ya kutoa gharama za uzalishani na Kila kitu. Unatakiwa na tsh 40 elfu.
Na baada ya kutoa gharama za uzalishani bado mtaji haujakata upo pale pale tsh 5mil.
Ila mtaji unongezeka thamani Kila siku.(nyumba inaongezeka thamani Kila siku).

Nakushauri usithubutu kuiuza hiyo ni asset Moja matata.
Inaongezeka thmani Kila siku.
Kama huaminijaribu kuiuza uone.

Shida anataka hela mkuu!!!

Kuna formula moja ya growth umeisahau

“Dont buy/build and keep you will never grow”
 
Ni kweli mzee hio Bei hailipi kabisa maana nyumba ni kubwa sema tu Imezungukwa na watu Kila kona.

Yaani siku ukigombana na mwenye nyumba ya mbele akiziba tu njia hamtoki [emoji2]

Kuna nyumba zinalipa hadi jiwe kwa mwezi.

150k Hela ndogo sana.

Usibaki kinyonge.

Mkuu tupe hiyo nyumba ya jiwe kwa mwezi hyo ni nyumba ya kupanga au ni fremu za maduka
 
Nikaanza kupangisha. Bei za huku kwasababu hamna umeme hamna maji basi bei ni elfu 10.
Sasa kwa hii elfu 10 nawaza hadi sasa 2023 sijafikisha hata laki 3 au 5 niliopokea kwene hiki kijumba.
Hahhaa mkuu imebidi nicheke tu.

Huyo nyumba iko Magomeni kwenye bonde la maji?
 
Back
Top Bottom