Nina nyumba uswahilini inatengeneza Tsh. 40,000/- kwa mwezi, niendelee au napoteza muda?

Mkuu unaambiwa hata pakupita kuingia ndani ya hiyo nyumba hapapo.

Kila mtu kajenga hadi mwisho wa Ukuta.

Ndio maana walimwuzia mil 5.

Sehemu ya kueleweka hakuna bei hiyo hata kama ni uswazi.

Sehemu ya kuelewekq hata kama ni uswazi Chumba ni elfu 40 hadi 50.

So kwa vyumba vitatu angekuja 150,000 mara 12 anapata almost ,3M.

Ambayo ni hela nzuri.

Uwekezaji kwenye nyumba unaingiza pesa kidogo bora viwanja
 
Reactions: Tsh

Sema mkoa location, huu ushauri unaoutafuta hapa ndo ulifanya ukapoteza hiyo 5m
 
Ok mkuu. Apambane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…