Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Mimi ni mweupe, nina wekundu kwa mbaaali!Eumelanin kwa Ngozi.
Pheomelanini kwa nywele.
Je una Ngozi Nyeusi au ndio vile inataka kufanana na nywele mwanetu..... Tuanzie hp.
#Naweza kukuambia kitu.
NdiyoUlishawi kujaribu kunyoa upara kwa mwezi mzma..?
Hizo dawa zinasaidia nini?Eumelanin kwa Ngozi.
Pheomelanini kwa nywele.
Je una Ngozi Nyeusi au ndio vile inataka kufanana na nywele mwanetu..... Tuanzie hp.
#Naweza kukuambia kitu.
Kofia? NitajaribuVaa kofia utakuwa umetisha
Kama Edsheeran ?Mimi ni mweupe, nina wekundu kwa mbaaali!
Kila ukinyoa paka super blackKofia? Nitajaribu
Piga kapelo tu mkuu hakuna namnaNaumia mno, siyo kwamba nakataliwa, la, ila nakuwa insecured kiasi fulani. Nywele zangu ni nyekundu sana, na sifahamu bado ni dawa gani ninaweza tumia.
Super blacks situmii na hata kuzisikia sitaki, nataka kufahamu lishe au vegs zozote za kula ili nirutubishe nywele zangu naturally.
Zikikua kubwa nahisi aibu mno sometimes, sema tu sura na muonekano vinanibeba otherwise ningekuwa mtu wa punyeto pekee mpaka mikono ingeota sugu.
Ushauri wa tiba asilia tafadhali, nipunguze insecurity!
Sizitaki kabisaKila ukinyoa paka super black
DuuhPiga kapelo tu mkuu hakuna namna
Aah KumbeMimi ni mweupe, nina wekundu kwa mbaaali!
Kwapani lazima ziwe na rangi ya njano, ukiingia swimming 🏊♂️ pool maji yanabadilika rangiNaumia mno, siyo kwamba nakataliwa, la, ila nakuwa insecured kiasi fulani. Nywele zangu ni nyekundu sana, na sifahamu bado ni dawa gani ninaweza tumia.
Super blacks situmii na hata kuzisikia sitaki, nataka kufahamu lishe au vegs zozote za kula ili nirutubishe nywele zangu naturally.
Zikikua kubwa nahisi aibu mno sometimes, sema tu sura na muonekano vinanibeba otherwise ningekuwa mtu wa punyeto pekee mpaka mikono ingeota sugu.
Ushauri wa tiba asilia tafadhali, nipunguze insecurity!
Yaani watu nyeto wanaisingizia mengi sana.Sasa hapo nyeto imefikaje?
Au ni mwanachama ila unajikosha?
Uliponea chupu chupu kuwa Manara? Natania wakuuMimi ni mweupe, nina wekundu kwa mbaaali!
Daka basi rafikiAah Kumbe
Ndio maana anarudi usiku kama jina lake ili asionekane Jana Ulirudi Usiku hahaha natania mkuu😆Lishe duni...