Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Naumia mno, siyo kwamba nakataliwa, la, ila nakuwa insecure kiasi fulani. Nywele zangu ni nyekundu sana, na sifahamu bado ni dawa gani ninaweza tumia.
Super blacks situmii na hata kuzisikia sitaki, nataka kufahamu lishe au mbogamboga zozote za kula ili nirutubishe nywele zangu kiasili.
Zikikua kubwa nahisi aibu mno wakati mwingine, sema tu sura na muonekano vinanibeba vinginevyo ningekuwa mtu wa punyeto pekee mpaka mikono ingeota sugu.
Ushauri wa tiba asilia tafadhali, nipunguze insecurity!