Nina pesa hapa Ila sijui nifanye biashara ipi

Nina pesa hapa Ila sijui nifanye biashara ipi

babrabae

Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
55
Reaction score
55
Nina kiasi cha sh 250000/= nifanye biashara Gani. Wakuu naombeni ushauri wenu.
 
Fungus genge uuze nyanya,mbogamboga,matunda,samaki wa kukaanga nk. badae unafungua super market badae kiwanda kama baresa badae kampuni ya simu kama Calosi slim,alafu maikrosofti unashindana na gates. Jiamini tuu asee
 
Kama upo mjini, zunguka vijijini ukinunua kuku wa kienyeji kwa bei ya chini unawauza mjini kwa faida
 
Fanya biashara ya kuuza matunda, kwa mtaji huo. kwa mwezi unaweza kutengeneza faida ya laki 3 hadi laki 5 kutegemea na mzunguko wa biashara eneo ulipo.
 
Biashara ya matunda.utapiga hela mpaka ukimbie. Kwa siku faida haukosi 20,0000.
 
Njoo tuchange twende kariakoo tukachukue mzigo wa viatu tumwage rangitatu [emoji855][emoji855][emoji855]
 
Back
Top Bottom