KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!..
ujinga wa huyu rafiki yangu upo hapa mfukoni alikuwa na vile vidonge vya pii two!,sasa baada yakumaliza mchezo akanitafuta tukawa tunapiga stori akiniambia alivyomgalagaza mtoto wa watu!.
huku akiwa na furaha akaniambia "wakati hatujaanza ule mchezo nilikunywa vile vidonge,hivyo sina wasiwasi kabisa!!"
kijasho chembamba kilinitoka,nikabaki nimemtazama kwa kuduwaa! nikawa najifikiria ndani yangu kama huyu bata maji anazo au ni moja ongeza na mbili halafu zidisha na sifuri!.
alivyoona namkodolea macho akaongeza..
"kaka yule kama alijiona yeye mjanja mimi ndio mtoto wa mjini!!"
Nilitamani nimlambe banzi lkn nikajiona nitaungana nae kwenye ujinga wake!. nilichofanya nikuondoka nakumuacha akiwa njia panda!.