Nyinyi wanawake hamna kinyaa? Kwa hisani ya watu wa JFHivi wanaume hamna kinyaa?
ephen_ hufai wewe πππNipo nashushia na maandazi..!β
Ajira ni changamoto sana nchini Tanzania, kuna muda unajiuliza ama duniani nimekuja kuzurura tu kisha nikufe?Mbona bado asubuhi sana mnawaza mizagamuo mazee, kazi mnafanya saa ngapi..π€
vp tangawizi imekolea, maana hii ni sturungi.Nipo nashushia na maandazi..!
ondoa together kwenye flock ongeza s kwenye feathers toa s.Birds of the same feathers flock together.
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππAlikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!..
ujinga wa huyu rafiki yangu upo hapa mfukoni alikuwa na vile vidonge vya pii two!,sasa baada yakumaliza mchezo akanitafuta tukawa tunapiga stori akiniambia alivyomgalagaza mtoto wa watu!.
huku akiwa na furaha akaniambia "wakati hatujaanza ule mchezo nilikunywa vile vidonge,hivyo sina wasiwasi kabisa!!"
kijasho chembamba kilinitoka,nikabaki nimemtazama kwa kuduwaa! nikawa najifikiria ndani yangu kama huyu bata maji anazo au ni moja ongeza na mbili halafu zidisha na sifuri!.
alivyoona namkodolea macho akaongeza..
"kaka yule kama alijiona yeye mjanja mimi ndio mtoto wa mjini!!"
Nilitamani nimlambe banzi lkn nikajiona nitaungana nae kwenye ujinga wake!. nilichofanya nikuondoka nakumuacha akiwa njia panda!.
Hahahahaha sawa sawa mkuu..ila hii ya kupasiana gheto ya kizamani sana nilijua watu washatoka hukosi tushakataa hizo ndoa mbona mnaturudisha nyuma!
Shule zimefungwa kumbe, unafungua lini shule mwanangu?Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!..