Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, ningependa kupark gari JNIA ili nikirudi niichukue

Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
Tafuta sheli ya karibu na omba parking
 
1. Nenda Bank.
2. Chukua mkopo, weka dhamana ya hilo gari.
3. Fedha ya mkopo usiitumie, tena fungulia account kwenye bank hiyohiyo.
4. Safiri.
5. Baada ya kurudi, nenda bank, rudisha mkopo bila kuutumia.
6. Watakurudishia gari yako ikiwa salama salimini.

Imeisha hiyooooo....
 
[emoji23][emoji28][emoji91][emoji91]
 
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.

Sogea mpaka Ukonga pale kwenye kambi za Magereza au FFU zungumza na boss wao mmoja wapooeze paki gari lako safiri ukirudi utalikuta kama lilivyo. Ulinzi uhakika kwenye hayo maeneo.
 
Kupaki JKNIA hata mwaka ni wewe na pesa yako tu.
Siku tatu ni masaa 72 x 2000 kwa saa andaa 144000.
 
1. Nenda Bank.
2. Chukua mkopo, weka dhamana ya hilo gari.
3. Fedha ya mkopo usiitumie, tena fungulia account kwenye bank hiyohiyo.
4. Safiri.
5. Baada ya kurudi, nenda bank, rudisha mkopo bila kuutumia.
6. Watakurudishia gari yako ikiwa salama salimini.

Imeisha hiyooooo....
Unajua gharama za mkopo wewe
 
Mkuu, kabla ya kukata kushoto kuingia JNIA ukitokea town kwa kupitia Pugu/Nyerere Road..... Sogea mbele kidogo kisha ingia kushoto kwenye hiyo Fuel Station, ongea na meneja pale kisha uipaki gari yako na utakuwa unalipia 5,000 kwa kila usiku pekee kwa walinzi, na mchana gari yako itakuwa salama sana pale.

Mimi nimefanya hivyo mara nyingi na siku zote nilikuta gari yangu salama pasipo na tatizo.
 
Mkuu, kabla ya kukata kushoto kuingia JNIA ukitokea town kwa kupitia Pugu/Nyerere Road..... Sogea mbele kidogo kisha ingia kushoto kwenye hiyo Fuel Station, ongea na meneja pale kisha uipaki gari yako na utakua unalipia 5,000 kwa kila usiku pekee kwa walinzi, na mchana gari yako itakua salama sana pale.
Mimi nimefanya hivyo mara nyingi na siku zote nilikuta gari yangu salama pasipo na tatizo.
Unaweza kuta gharama ya kupaki siku tatu haizidi gharama ya Uber. Nitaizingatia hii comment.
 
Back
Top Bottom