Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, ningependa kupark gari JNIA ili nikirudi niichukue

Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, ningependa kupark gari JNIA ili nikirudi niichukue

Long Term Car Parking​

The long term car parking system is now available at Julius Nyerere International Airport Terminal III, please contact information desk for more details.

CONTACT US THROUGH: +255 22 2842402/3

All the best.
Tatizo hizo namba hazipatikani. Kuna mwenye update?
 
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
sijaelewa unakuja Dar alafu na Gari imepakiwa kwenye Ndege au mimi ndio sielewi utapaki vipi JNIA
 
1. Nenda Bank.
2. Chukua mkopo, weka dhamana ya hilo gari.
3. Fedha ya mkopo usiitumie, tena fungulia account kwenye bank hiyohiyo.
4. Safiri.
5. Baada ya kurudi, nenda bank, rudisha mkopo bila kuutumia.
6. Watakurudishia gari yako ikiwa salama salimini.

Imeisha hiyooooo....
Story za vijiweni huwa zinànoga sana mkikutana wote hamnazo.
 
Yaani Subaru ndo inakufikirisha hivi? Ungekuwa a Gari la Ukweli je? Hiyo SUbaru kuna jamaa huwa analaza nje tu na sometime anasafiri hata week 3 anarudi anaikuta ipo pale pale....... si gari za kuogope.ndo gari yako ya kwanza nini? na pia hujawahi panda ndege
Wewe ni mshamba!
 
Ha ha ha
 
Vipi kuhusu maegesho ya stendi za SGR pale Dsm, Morogoro na Dodoma
 
Back
Top Bottom