Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, ningependa kupark gari JNIA ili nikirudi niichukue

yaani Subaru ndo inakufikirisha hivi? ungekuwa a Gari la Ukweli je? hiyo SUbaru kuna jamaa huwa analaza nje tu na sometime anasafiri hata week 3 anarudi anaikuta ipo pale pale....... si gari za kuogope.ndo gari yako ya kwanza nini? na pia hujawahi panda ndege

Haya haya kumekucha matajiri wa JF washaamka[emoji23][emoji23]
 
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
Utaratibu ni simple tu unalipia, Funguo unaziacha kwangu siku unarudi utazikuta. Safe journey in advance.

Note. Siku unakuja kusafiri weka mafuta ya kutosha.
 
Long Term Car Parking​

The long term car parking system is now available at Julius Nyerere International Airport Terminal III, please contact information desk for more details.

CONTACT US THROUGH: +255 22 2842402/3

All the best.
 
Thanks 🙏🏿
 
yaani Subaru ndo inakufikirisha hivi? ungekuwa a Gari la Ukweli je? hiyo SUbaru kuna jamaa huwa analaza nje tu na sometime anasafiri hata week 3 anarudi anaikuta ipo pale pale....... si gari za kuogope.ndo gari yako ya kwanza nini? na pia hujawahi panda ndege
Jf ukose bando lako tu mengine yote yako humu😂
 
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
inategemea na aina ya gari kama ni corolla ,IST au kombi nk hawaruhusu kupaki pale, wewe una aina gani ya gari?
 
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
Ka vp leta kwangu
 
Hakikisha masega umeondoka nayo
 
Back
Top Bottom