Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 948
Tafuta sheli ya karibu na omba parkingHabari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
1. Zingatia hiyo reply hapo juu.per hour ni shs 2,000 Tu. Piga hesabu zako ili ufanye right decision
[emoji23][emoji28][emoji91][emoji91]1. Nenda Bank.
2. Chukua mkopo, weka dhamana ya hilo gari.
3. Fedha ya mkopo usiitumie, tena fungulia account kwenye bank hiyohiyo.
4. Safiri.
5. Baada ya kurudi, nenda bank, rudisha mkopo bila kuutumia.
6. Watakurudishia gari yako ikiwa salama salimini.
Imeisha hiyooooo....
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
Watakubadilishia spare... peleka Central pana ulinzi wa uhakika.
2000 x Masaa 24 x Siku 3per hour ni shs 2,000 Tu. Piga hesabu zako ili ufanye right decision
Jukumu lao la msingi ni ulinzi wa raia na mali zao. Awapelekee ni kazi yao.Watakubadilia spare
Unajua gharama za mkopo wewe1. Nenda Bank.
2. Chukua mkopo, weka dhamana ya hilo gari.
3. Fedha ya mkopo usiitumie, tena fungulia account kwenye bank hiyohiyo.
4. Safiri.
5. Baada ya kurudi, nenda bank, rudisha mkopo bila kuutumia.
6. Watakurudishia gari yako ikiwa salama salimini.
Imeisha hiyooooo....
Unaweza kuta gharama ya kupaki siku tatu haizidi gharama ya Uber. Nitaizingatia hii comment.Mkuu, kabla ya kukata kushoto kuingia JNIA ukitokea town kwa kupitia Pugu/Nyerere Road..... Sogea mbele kidogo kisha ingia kushoto kwenye hiyo Fuel Station, ongea na meneja pale kisha uipaki gari yako na utakua unalipia 5,000 kwa kila usiku pekee kwa walinzi, na mchana gari yako itakua salama sana pale.
Mimi nimefanya hivyo mara nyingi na siku zote nilikuta gari yangu salama pasipo na tatizo.
Kabisa mkuu, na siku ninapo rudi nilikua najaza mafuta kwao pale fully.Unaweza kuta gharama ya kupaki siku tatu haizidi gharama ya Uber. Nitaizingatia hii comment.