Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, ningependa kupark gari JNIA ili nikirudi niichukue

Long Term Car Parking​

The long term car parking system is now available at Julius Nyerere International Airport Terminal III, please contact information desk for more details.

CONTACT US THROUGH: +255 22 2842402/3

All the best.
Tatizo hizo namba hazipatikani. Kuna mwenye update?
 
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
sijaelewa unakuja Dar alafu na Gari imepakiwa kwenye Ndege au mimi ndio sielewi utapaki vipi JNIA
 
Story za vijiweni huwa zinànoga sana mkikutana wote hamnazo.
 
Wewe ni mshamba!
 

Ha ha ha
 
Vipi kuhusu maegesho ya stendi za SGR pale Dsm, Morogoro na Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…