Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Nenda lego kale kitimoto tu kijanaKabla ya kukipeleka hiki kiasi cha 250K bar au kukihonga, naomba kupatiwa ushauri wa biashara ya kufanya hususan biashara ya chakula ama vitoweo na utaratibu wake, itakayoniwezesha kuvuna mafao ndani ya wiki moja (nianze kuona faida)
Niko Dar es salaam
Miaka 20 to 24 yrs
Jobless
N.B:
Biashara iwe inalipa na ku run, maake majukumu ni mengi!
Mkuu, chimbo la mitumba? Bei ya jumla? Namna ya uendeshaji, kwa kutembeza au? Faida yake? Changamoto?Ndani ya week hapana nitakudanganya.
Ila nashauri nguo, daka mitumba uuze.
Mmh!Pelaka na ujiunge Chama cha Kuweka na Kukopa (VICOBA).
[emoji23][emoji23]Nenda lego kale kitimoto tu kijana
Mkuu tupeane fursa,Zanzibar biashara nje nje
Mkuu,Tupime Pombe na Madawa ya Kulevya kwa Wafanyakazi Taasisi za Serikali na Bunge
Mimi kama Mtanzania mwenye nia nzuri na malengo na hii nchi japo nimetamani kuikimbia na nimepata nafasi kadhaa ila nikaamua kubaki naomba kupendekeza ofisi za serikali na bunge zianze kupima pombe na madawa ya kulevya. Hii itasaidia kuondoa wafanyakazi na wabunge ambao wanafanya maamuzi ya...www.jamiiforums.com
Kabla ya kukipeleka hiki kiasi cha 250K bar au kukihonga, naomba kupatiwa ushauri wa biashara ya kufanya hususan biashara ya chakula ama vitoweo na utaratibu wake, itakayoniwezesha kuvuna mafao ndani ya wiki moja (nianze kuona faida)
Niko Dar es salaam
Miaka 20 to 24 yrs
Jobless
N.B:
Biashara iwe inalipa na ku run, maake majukumu ni mengi!