Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kabla ya kukipeleka hiki kiasi cha 250K bar au kukihonga, naomba kupatiwa ushauri wa biashara ya kufanya hususan biashara ya chakula ama vitoweo na utaratibu wake, itakayoniwezesha kuvuna mafao ndani ya wiki moja (nianze kuona faida)
Niko Dar es salaam
Miaka 20 to 24 yrs
Jobless
N.B:
Biashara iwe inalipa na ku run, maake majukumu ni mengi!
Niko Dar es salaam
Miaka 20 to 24 yrs
Jobless
N.B:
Biashara iwe inalipa na ku run, maake majukumu ni mengi!