Nina sh. 25,000, nahitaji ushauri wa biashara ya kufanya

Nina sh. 25,000, nahitaji ushauri wa biashara ya kufanya

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Kabla ya kukipeleka hiki kiasi cha 250K bar au kukihonga, naomba kupatiwa ushauri wa biashara ya kufanya hususan biashara ya chakula ama vitoweo na utaratibu wake, itakayoniwezesha kuvuna mafao ndani ya wiki moja (nianze kuona faida)

Niko Dar es salaam
Miaka 20 to 24 yrs
Jobless

N.B:
Biashara iwe inalipa na ku run, maake majukumu ni mengi!
 
Pelaka na ujiunge Chama cha Kuweka na Kukopa (VICOBA).
 
Kabla ya kukipeleka hiki kiasi cha 250K bar au kukihonga, naomba kupatiwa ushauri wa biashara ya kufanya hususan biashara ya chakula ama vitoweo na utaratibu wake, itakayoniwezesha kuvuna mafao ndani ya wiki moja (nianze kuona faida)

Niko Dar es salaam
Miaka 20 to 24 yrs
Jobless

N.B:
Biashara iwe inalipa na ku run, maake majukumu ni mengi!
Nenda lego kale kitimoto tu kijana
 
Ndani ya week hapana nitakudanganya.

Ila nashauri nguo, daka mitumba uuze.
 
Ndani ya week hapana nitakudanganya.

Ila nashauri nguo, daka mitumba uuze.
Mkuu, chimbo la mitumba? Bei ya jumla? Namna ya uendeshaji, kwa kutembeza au? Faida yake? Changamoto?
 
Zanzibar biashara nje nje
Mkuu tupeane fursa,
Kuna biashara zipi huko?
Na je kuna utaratibu wowote complex wa kutoka bara (Dar) kwenda zanzibar? Na je vyumba vya uko bei ipi?

Nakazia kwenye aina za biashara mkuu! Nahisi nitaupiga mwingi!
 
Kama uko interested na nguo. Kuna ndugu yangu kavuka boda kaniachia mzigo wa kutosha grade 1 nitafute uje uchague kwa bei ya kutupa. Hiyo 250k ni nyingi lakini kwenye business sio kama unavyofikiri
 
Mkuu,
Mi sinywi pombe wala situmii madawa ya kulevya! Mi msabato mkuu! Wala sihitaji kuwa mwajiriwa serikalini!

Naomba mchango wa fursa mkuu, tafadhari!
 
Kabla ya kukipeleka hiki kiasi cha 250K bar au kukihonga, naomba kupatiwa ushauri wa biashara ya kufanya hususan biashara ya chakula ama vitoweo na utaratibu wake, itakayoniwezesha kuvuna mafao ndani ya wiki moja (nianze kuona faida)

Niko Dar es salaam
Miaka 20 to 24 yrs
Jobless

N.B:
Biashara iwe inalipa na ku run, maake majukumu ni mengi!

Nunua ungo au sinia
Kisha nunua kwa jumla
Mfuko wa pipi ivory 2000
Mfuko wa big bom 8500
Mfuko wa big G 1500
Mfuko wa jojo 1500
Peremende 1500
Weka na sigara
Tega maeneo ya watu wengi kama vituo vya daladala
 
Nenda soko lolote lile! Nunua mihogo mibichi ya buku 5, nazi za buku 2, chumvi ya 500, pilipili ya 500, karanga mbichi za 500, mbegu za maboga za buku 5, miguu na vichwa vya kuku walio kaangwa vya buku 5!

Halafu wapitishie jamaa wa vijiwe vya kahawa, au kwenye mikusanyiko yenye wanaume wenzako wa Dar! Baada ya wiki moja tu umeshakuwa milionea. Na utakuja kunishukuru hapa.
 
Back
Top Bottom