Nina Shahada katika Uchumi na Takwimu, natafuta kazi

Wizara ya afya wametangaza ajira. Omba data manager. Kazi zipo nyingi Sana serekalini na NGOs wanahitajika Sana watu wa data ,hesabu.
Pitia kila Mara platforms zote wanazotangaza ajira.
 
Fursa ndo zimekuwa chache hata hvyo nimekuwa nikijaribu maaneo tofautitofauti lkn sijafanikiwa bado kiongozi.
 
Nimegundua jambo, kuna watakwimu wengi sana mtaani.Kuanzia ngazi ya cheti mpaka ngazi ya uzamili.

Suluhisho la muda, uandikwe muswada kwenda wizara ya fedha, idara ya takwimu taifa, na wizara ya kazi, ajira na maendeleo kwa vijana wapewe kipaumbele katika nafasi za zoezi la sensa mwaka 2022,

Kuliko kuwatumia Waalimu wa shule za msingi na sekondari ambao tayari wanaajira mkononi.
Hayo ni Maoni yangu, unaweza kuwa na maoni yako pia.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Serikali inabana matumizi, pesa hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…