Nina shahada ya Kilimo, natafuta kazi

Nina shahada ya Kilimo, natafuta kazi

Mwanasuaso mwenzangu nakushauri peleka barua za kuomba kufanya kazi kwa kujitolea katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya uliyopo na za Jirani, Makampuni binafsi yanayo jihusisha na kilimo pamoja na Taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Kilimo kama vile TARI, ASA, TPHPA n.k.

Sambaza barua kwa mkono wewe mwenyewe wala usimtume mtu.....All the best Kamanda!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wee jamaa daah aisee...ila humu ndani hata nikitoa mchango positive manaona ni ngonooo tuuu nyambafu
Tatizo Uzi wako una kuhukumu mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanasuaso mwenzangu nakushauri peleka barua za kuomba kufanya kazi kwa kujitolea katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya uliyopo na za Jirani, Makampuni binafsi yanayo jihusisha na kilimo pamoja na Taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Kilimo kama vile TARI, ASA, TPHPA n.k.

Sambaza barua kwa mkono wewe mwenyewe wala usimtume mtu.....All the best Kamanda!!
Sawa nitafanya hivo ndugu🙏
 
Habari wana JF, natafuta kazi.

Nina degree ya horticulture nimeipata chuo Cha SUA.

Umri: Miaka 25
Experience: 1 year
Jinsia: Me
Mkoa: Mbeya

Pia Nina uzoefu na ujuzi mkubwa wa computer yaani software maintenance na kutumia application (Microsoft office"excell, word, publisher", Photoshop )
Siku ukijiwa na wazo la kutumia huo ujuzi wako kujiajiri, basi niamini mimi; utatoboa mapema sana kimaisha.

Ingawa natambua fika mwanzo utakuwa mgumu. Ila ukitulia, maisha yatakuwa mteremko mpaka mwenyewe utashangaa.
 
Ni kweli mkuu ila pakuanzia muhimu
 
Back
Top Bottom