Nina shahada ya Sheria 2020/2021 naomba msaada nipate ajira/kujitolea

mbona mda bado yaani 2020/2021 ndiyo umemaliza halafu umeshaona umekaa muda mrefu.kuna batch ya 2010/11 bado wapo pia
 
Andika barua ya kujitolea halmashauri za mkoa wa Katavi, mfano Wilaya za Tanganyika au Mlele, naona wana uchache wa wanasheria...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…