Nina shahada ya Ugavi, natafuta kazi, nipo Zanzibar

Melany

New Member
Joined
Jun 24, 2020
Posts
2
Reaction score
1
Habari wakuu, mimi naishi Zanzibar nina shahada ya manunuzi na ugavi (procurement and supply) natafuta kazi huku huku zanzibar kwasababu nina familia inayonitegemea hivyo kwa yeyote mwenye nafasi ya ajira tafadhali tuwasiliane
 
Kwa zanzibar mzee huko hakuna connection ni kujihangaisha tu unless labda uwe na mkubwa serikalini, naongea hivi kwa sababu napafahamu vzuri zanzibar.
Hivi mishahara ya Zanzibar ipoje kuanzia watu wenye bachelors, Master's na hata Phd..scale range yake ipoje serikalini ?
 
Mshahara wa mwenye bachelor's degree yoyote kwa zanzibar ni 575k hiyo bila ya makato ukikatwa makato ya kawaida bila ya kuwa na deni la bodi ya mikopo inaangukia kama 485k , masters ni nyongeza kidogo ya mshahara wa degree kama 30K hivi, mwenye doctor of philosophy(PhD) anakula 1M bila ya makato ya serikali na ukiwa na makato ya bodi ndio utaumia zaidi. Zenji bado sana. Ukiachilia fitna zilizopo makazini utatamani ujiajiri mwenyewe hata kama kuuza nyanya.
 
Habari wakuu, mimi naishi Zanzibar nina shahada ya manunuzi na ugavi (procurement and supply) natafuta kazi huku huku zanzibar kwasababu nina familia inayonitegemea hivyo kwa yeyote mwenye nafasi ya ajira tafadhali tuwasiliane
Mkuu umepiga chuo cha utumishi umma ( IPA) au?
 
Mshahara wa mwenye bachelor's degree yoyote kwa zanzibar ni 575k hiyo bila ya makato ukikatwa makato ya kawaida bila ya kuwa na deni la bodi ya mikopo inaangukia kama 485k , masters ni nyongeza kidogo ya mshahara wa degree kama 30K hivi, mwenye doctor of philosophy(PhD) anakula 1M bila ya makato ya serikali na ukiwa na makato ya bodi ndio utaumia zaidi. Zenji bado sana. Ukiachilia fitna zilizopo makazini utatamani ujiajiri mwenyewe hata kama kuuza nyanya.
Aisee
 
Unaifahamu vizuri! Mwenyeji huko, nini?

Yaani Kama mwenye bachelor anakula sawa na mwenye diploma huku je mwenye cheti huko SI labda 300000
 
Sa wanaishi vipi maisha ya huko yapoje kwamfano vyumba vya kupanga Bei zipoje...nasikia vifaa vya umeme ndo Bei sawa na bure
Moment of silent ruwasa miyeyusho miyeyusho nashukuru jinamizi la ruwasa nimeliepuka Mungu mkubwa nimepata za utumishi wizara hiohio ya maji
 
Ambacho haujui ni kuwa vyeti vina maana sana Zanzibar. Hao wabunge unaoona wametoka Zanzibar wana tuvyetivyeti tu. Hata huyo bi mkubwa hapo kileleni ameunga unga tu-vyeti vyeti tu. Corona ikaja ikampa urais wa bure!!

Natamani siku moja nifike Zanzibar nikipata likizo nitaenda kujionea.niliambiwa my father died there na alizikwa na manispaa ya huko kabla hata ya kuniona[emoji25]..aliendaga kutafuta life huko one day nitaeda kutembelea hio nchi sijui ndo mkoa hata sielewagi kwanza
 
Sa wanaishi vipi maisha ya huko yapoje kwamfano vyumba vya kupanga Bei zipoje...nasikia vifaa vya umeme ndo Bei sawa na bure
Moment of silent ruwasa miyeyusho miyeyusho nashukuru jinamizi la ruwasa nimeliepuka Mungu mkubwa nimepata za utumishi wizara hiohio ya maji
Mzee hongera kwanza ulipambana sana,,
Ila huku mambo yamebadilika hakuna kitonga saa hv
 
Daah pole sana mkuu, na karibu sana

Back
Top Bottom