Nina shahada ya Ugavi, natafuta kazi, nipo Zanzibar


Kitu pekee kinachosidia ni kua wengi wazawa wanajitegemea na biashara binafc hasa wapemba hawaajiriwi sana ndio mana wals
Huckii kelele za mishahara ipandshwe cjui madaraja cjui posho mana waloajiriwa ni wachache tu naweza kusema 90% ya wapemba wanajitegemea kazi binafc pia kinachosaidia sio watu wa starehe na pombe pesa wanayopata inatosha kwa mahitaj mana kwanza kupanga sio hulka Yao wanajenga wengi na Usafiri binafc kwa mgeni alozoea maisha ya dar mshahara hauezi mtosha Kama ni mtu wa matumizi sana vyumba vya kupanga pia sio bei ghali sababu wahitaji ni wachache sana wageni tu na wenyej ambao wameingia kwenye ndoa wanaishi kwa muda tu kujipanga vigumu kumpata ambae amepanga zaidi ya miaka mitano hajapata kwake wapo lkn sio wengi hata mshahara huo unauona wenye nyumba na usafiri ni wengi mno
 
Ongeza elf20 au 30K Ndio mshahara wa master kutoka bachelor unaongzka kiduchu sana
Duh
Barabarra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…