J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,206
Kichwa cha habari hapo juu.
Ni miaka miwili imepita ,niliwahi kutoa UZI kama hili kwenye ID yangu nyingine, kuomba ushauri kuhusu hili jambo.
Mimi siyo mtu wa sketi sana,kwa mwezi naweza kushiriki mara mbili au nisifanye kabisa.
Ila ninaposhiriki tendo hili naweza kutoa shahawa c chini ya 15cc-20cc .Na hata nikienda round tano mpaka 6 hali ni ile ile.
Na mpaka nilijua labda ulaji ila nimejitahidi kubadilisha aina ya vyakula .
Nimewahi kuhakiki hili jambo.
Na nina nguvu kama ya simba.
Naomba kujua hili tatizo ni jambo la kawaida au ni tatizo?
Hapa ni jukwaa na tuko watu wa kila aina.yawezekana pia wapo na wengine.