Nina shahawa nyingi sana.ushauri nahitaji

Nina shahawa nyingi sana.ushauri nahitaji

Kua na shahawa nyingi co kua ndo una mbegu nyingi... sperm count ukifanyiwa unaweza kujishangaa.by the way huo sio Ugonjwa au ww uliambiwa normal unatakiwa utoe kiasgan[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huo ndiyo wanaume,mshukuru mungu upo hivyo kuna watu wanatoa povu tu shahawa hawana wanakesha wanatafuna karanga mbichi,mwanaume kumwaga shahawa kisado kizima bwana, mpaka mwanamke anazisikia zinatiririka
 
Hilo ni tatizo, kila kitu kikizidi au kupungua kupita kiasi basi hilo ni tatizo.
Normal volume of seminal fluid for healthy men is 2-5mls yaani sawa na nusu au kijiko kimoja cha chai
 
CHAPUTA Ndiyo mkombozi Wako Mkuu J putin

Nakuhakikishia Ndani Ya Wiki moja Utapona Kabisa tatizo lako na Hutokuja tena hapa kulalamikia Shahawa.
 
Back
Top Bottom