Nina shahawa nyingi sana.ushauri nahitaji

Kitaalam mtu anayekaa muda mref pasipo sexual lazma uzalishaji wake wa sperm cells lazma uwe kwa kiwango kikubwa so that's normal issue mkuu also no stressed up
 
Fungua kiwanda anza kuuza kabisa
 
Watu wanataka friction Hata ukifungia nje sawa2...kwahyo usijivunie sana .....na sio ugonjwa huo we tulia ...endelea na shughuli zako za kilasiku.
 
Swali, hizo shahawa ni nyingi kiasi cha kutoka zenyewe kama mkojo?

Umeoa? Una demu?

Jibu hapo kisha tutaendelea
 
Sisi wanadamu ni waongo sana..ila bwana Putin kaichukua hii to whole another level...

Uongo mkubwa in such a way unakaribia ukweli,thats how big this lie from Putin is!
 
Nenda ubalozi wa marekani, wananunua pale, wanaume wa kule hawajazi hata CC 1. We waambie al barkhani ghairi al usama bin laden ameniagiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…