Nina shamba kubwa Mwanza ninauza kwa wawekezaji eka 18 lina hati nipeni soko,nifanyeje

Nina shamba kubwa Mwanza ninauza kwa wawekezaji eka 18 lina hati nipeni soko,nifanyeje

dndagula

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
1,602
Reaction score
1,650
Ninauza shamba kubwa hekta 18 zilizopimwa karibu na ziwa huku Mwanza jamani nipeni maarifa namna ya kupata wateja linafaa kwa hoteli,kilimo,mifugo na apartments. Nipeni maarifa. 0622290094
IMG-20230416-WA0000.jpg
 
Hili shamba sio lile la $300,000
Ni eneo zuri ila sio kwa bei hiyo kama vipi likate vipande na uje kivingine tena
 
Weka datails za muhimu kama location na bei pia
Mbona marketing ni tatizo?
 
Kata viwanja na mimi nichukue kimoja
 
Back
Top Bottom