Nina shambuliwa na mawazo ya kutaka kujiua

Nina shambuliwa na mawazo ya kutaka kujiua

Yawezekana maisha yako yamekuwa monotonous kiasi cha kupoteza flavour. Unahitaji kubadili staili ya maisha, ipe upya fulani. Kama umefanikiwa sana, na una raha sana, jaribu kuachana na raha hizo na kuishi maisha ya kujinyima kidogo; nenda kijijini na sehemu zenye nature usikilize sauti za ndege na wanyama, nk. Kwa kubadili mtindo wa maisha na mazingira unaweza kuona tena upya wa maisha ktk maana nzuri zaidi.

Asante i will try to work on ur advice
 
pole sana kwa hali hiyo ndugu. ila naona umeweka mipaka ya ushauri wa namna ya kuondokana na tatizo hilo, eti "tiba yoyote ya hospitalini"

Fanya yafuatayo:
  • Kama unaishi sehemu ambayo unajitegemea kwa chakula na maradhi (yaani huwa unapata wakati wa kuwaza leo ntakula nini), ondoka nenda kwa ndugu ambaye uko huru sana ukiwa kwake hasa wazazi kama wapo.(kinachotakiwa hapa upate pumziko la bila kuwaza utakula nini. we ule kile watakacho tafuta wazazi)
  • Ikiwa ulizoea kukaa katika familia ya watu wengi yenye ucheshi na pilikapilika za aina mbalimbali na sasa umeondokana nayo, basi ni wakati muafaka wa kutembelea familia hiyo kila Unapohisi hali hiyo inakujia...

Salosalo nakushukuru sana huwezi jua lakini nimefunguka katika mengi kutokana na uliyoyasema,,,, nitayafanyia kazi,,, asante.. samahani kama nimeonekana kubana upana wa kupewa ushauri... i needed this lesson... asante sana
 
sijawahi kuombewa kwa ajili hio na sijawahi kumueleza mtu yaani leo it is my first day kuongea kiyu kama hiki, i kept it to my herat to this day, sijui ni kitu gani sijui na ni hali ambayo hailezeki
pole kwa yaliyokupata kwahiyo hukupata tena hali ya kutaka kujiua?? uliombewa?? haukupata matibabu yoyote ya hospitali?
 
anne maria,

Pole na kwa ushauri ulikwesha pewa natumaini tayari unaendeela kwa huru toka kwenye tatizo.

Naongeza kitu kimoja tu! Mtu akiwa kwenye uasili wake kamili hawezi kufikiria hivyo unavyofikiria. Kwa hiyo tambua kuwa ni hakika Hayo sio mawazo yako, wala hayo siyo matakwa yako.... Hii ni hakika kabisa. That Is not You!

Kwahiyo kwa kuwa tayari umeweza kujitenga nayo hadi kuja kuyashitaki hapa na kutaka ushauri ni kuwa Tayari umeshapona na unachohitaji ni Kutiwa moyo tu! Mgonjwa ambaye hawezi kujitofautisha nayo utamsaadiaje???? Kwa hiyo wewe ni mtu bora sana. Usidanaganyike na kujichanganya na hicho kisicho wewe!!!

Fanya jambo mmoja.

Katu usiyaite hayo mawazo na hizo fikra kuwa ni wewe. Ukweli kabisi huyo sio wewe na hayo sio mawazo yako.
Kama mwilini unavyoweza kushambuliwa na Paarsite wa malaria, kwenye fikra unaweza kuwa na Parasite ... "Emotional Parasite"
Ni Parasite waliowanyonge sana kama muhusika akishawatambua, kukiri kuwa mawazo yao sio yake ... na chakuwamaliza kabisa..

Tulia tuli yatizame hayo mawazo kimomoyo moyo, usjibishane nayo, usizungumze nayo, usiyatathmini ... Yatizame kimoyoni ...kwa utulivu usio pimika ... hadi yaataangamia milele!! Yatarudi tena na staili nyingine mbalimbali za kukera na kukuchokoza, kukurubuni ili uyape ushirikiano ...wewe moyoni sema NOP!! Yatizmae ukiwa umetulia tuli ...!! Yataangamia!!

Hayo mawazo yanataka uweweseke ujione ndio wewe, ili uingiwe na woga, wasiwasi, shaka na hisia hasi zote ... hakikisha huyapi hiyo starehe ... Usiyazalishie hisia hasi hizo hasa woga, shaka, nk kwani huo ndio MLO wake ...!! Tulia tuli na usiyape ushirikiano wowote .... !

Mwishoni utahitaji kujifunza kwa nini ... Kutulia tuli na kutizama kimoyo moyo inaweza kuwa silaha!!

Hasa kuwa fundisha watoto wasitekwe na mawazo ya ulesbian na u homosexual !!! Maana inaanz akama hivyo tu mawazo yanaaanza kuongea nadani yao na wanayapa ushirikiano kupitia hisia hasi ...Ghafala inakuwa kweli na hatimaye wanaaza kuyatetea ... Its emotional parasite conquering our planet earth with greater speed!!

Tusikubaliane nayo katu!!!

PONA. Malizana na hizo parasitic thoughts alafu.... tuanzedarasa PM!!
 
Pole sana, unatakiwa uombewe inawezeka kuna maroho yanakufuatilia, I am also praying for you in Jesus name
 
pole sana bidada, nakushauri fuatilia ushauri wa salosalo na dr wa kwanza kabisa ili kutatua. Ila nikutie moyo Mungu akisha kuonyesha kitu basi jua kesha kitatua so huwez kujiua tena manake ameshamshinda huyo ibilisi.

Asante ntafanya hivyo
 
SUALA LA KUOMBEWA NI MUHIMU...kama ulishawahi kuombewa hali ikapotea basi ujue tatizo liko hapo hapo kwenye mambo ya kiimani...KWA IMANI yangu kuna MAJINI YANAITWA MAKATA pia ROHO ZA MAUTI kazi yake ni vifo na yawezekana tayari wajanja washaku settia mpaka siku saa na design ya kifo...acha kulegea if its a matter of life and death mtafute mchungaji mwa kiroho mwadithie...ukishindwa nimeku pm namba ya simu ya mchungaji kiboko wa haya mambo.. mweleze kila kitu atakusaidia within a second
 
Kama upo karibu na bahari mchukue ndugu yako wa karibu muende. Kaa kando kando ya bahari angalia kwenye sehemu ambayo huwezi kuona chochote mbele yake. Kama huwa unavaa miwani vua. Ukifanya angalau mara mbili hali hiyo itaondoka kabisa
 
kwa siku hizi mbili mfululizo nimekua nikipata sana mawazo ya kujiua kila ikitokea nafasi ya kuweza kujiua nawaza kujiua
Jana nilikua nimepakia kwenye gari natokea masafa marefu na milango haikua imelokiwa,, kwahiyo kila wakati wazo linanijia kuwa nifungue mlango na kujitupa katikati ya barabara wakati gari lipo kwenye speed ya juu,, na leo tena mawazo hayo yameniandama siku nzima,, nikaamua kuwashirikisha dada zangu wakaniuliza kama nina kitu kinani depress lakini sioni kama nina jambo lolote linalo ni depress i feel fine,, am happy lakini sijui kwanini kila wakati napata kishawishi cha kujiua.... kiukweli nakosa raha kwa sababu ya hali hii leo nusura nifungue mlango wa gari wakati ipo kwenye kasi ya ajabu barabarani
Naombeni mnisaidie hili ni tatizo la kiakili ama ni nini?? ninahitaji kupatiwa tiba yoyote ya hospitali?

NB hii hali hiko nyuma ilishawahi kunitokea mara kadhaa ila nikaweza kujikaza na kuishinda nilisali na kuombewa lakini kwa sasa naona imekuja kwa nguvu zaidi..kusali ninaendelea ila najiuliza kwa nini linanijia?

ANNE, Pole sana mpendwa wangu!
jambo moja tu ni hili na ulishike sana, nenda kwa watu wa Mungu wakuombee!! Usicheze na mapepo kabisa yanaweza kukuuwa saa yoyote! lakini sharti hili litokee, shetani anapotaka kufanya uharibifu anaomba kibali kwa mhusika, na unapomruhusu ndo anafanya! Unamruhusuje na anaombaje kibali?

Anakupa wazo mfano la kujiua, katika hali hii, unajenga hofu na msongo mkubwa wa mawazo na kuhangaika kama unayofanya kwa kuwa nafsi yako haitaki kukubali, hali hii usipojua cha kufanya inaendelea kwa kasi na nguvu kubwa mpaka nafsi yako inakosa nguvu ya kuresist beyond! inapofikia hapa basi kibali umekitoa! na inatokea.... kumbuka kuwa sio shetani amkuuwa ila umejiuwa mwenyewe! kwa hiyo unapokubaliana na wazo hilo unalitekeleza!!

sasa unwezaje kuishinda hali hii?
Onana na watu wanaojua kuomba... si unajua kila mtu anasali na kuomba, lakini kwa namna ya kupambana na nguvu za giza inatakiwa uwapate wanaojua kulifanya hili inavyostahili! Pia inapotokea pigana mwenyewe katika ulimwengu wa Kiroho ukikemea hali hii na kuikataa (Sitakufa bali nitaishi katika Jina la Bwana Yesu Kristo wa Nazareti, Shetani na mawazo yako, msongo wa mawazo ndani yangu utoke kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareti) usikubali hata siku moja ukaisikia hali hii na ukakaa kimya kinyonge, nafsi yako ndo inafifia kama mshumaa!!

Bwana Yesu wa uzima na akulinde na mabaya yote, akukinge na hila na mitego ya adui, akuponye magonjwa na majeraha yote, akuhifadhi na kukufadhili na akushindie majaribu haya! AMEN!
 
Umepagawa na jini la mauti.

Uchaguzi ni wako anne maria, chagua kifo au chagua kuishi.

Waone watumishi wa Kanisa wamteketeze kama unataka kuishi, pia achana na maisha machafu yenye kuruhusu shetani kutawala maisha yako, na uokoke.
 
wahehe mara nyingi akijisikia kujinyonga uwa wanafanya kweli

Ni kweli nimempoteza one of my friends kwa kujiua hakuwahi hata siku moja kunishirikisha alikua mhehe nilistukia siku nimeamka nikaambiwa amejiua usiku chumbani kwake,, mimi sio mhehe lakini kifo chake kiliniuma sana... sio hali nzuri kuwa nayo lakini maombi yanasaidia kwa sasa nimeamua kukaa kuomba na kutosafiri kwa gari kwa mda,, nimechukua off za siku kadhaa kutoka kazini
 
Umepagawa na jini la mauti.

Uchaguzi ni wako anne maria, chagua kifo au chagua kuishi.

Waone watumishi wa Kanisa wamteketeze kama unataka kuishi, pia achana na maisha machafu yenye kuruhusu shetani kutawala maisha yako, na uokoke.

Nashukuru kwa maidha yako...
 
ANNE, Pole sana mpendwa wangu!
jambo moja tu ni hili na ulishike sana, nenda kwa watu wa Mungu wakuombee!! Usicheze na mapepo kabisa yanaweza kukuuwa saa yoyote! lakini sharti hili litokee, shetani anapotaka kufanya uharibifu anaomba kibali kwa mhusika, na unapomruhusu ndo anafanya! Unamruhusuje na anaombaje kibali?

Anakupa wazo mfano la kujiua, katika hali hii, unajenga hofu na msongo mkubwa wa mawazo na kuhangaika kama unayofanya kwa kuwa nafsi yako haitaki kukubali, hali hii usipojua cha kufanya inaendelea kwa kasi na nguvu kubwa mpaka nafsi yako inakosa nguvu ya kuresist beyond! inapofikia hapa basi kibali umekitoa! na inatokea.... kumbuka kuwa sio shetani amkuuwa ila umejiuwa mwenyewe! kwa hiyo unapokubaliana na wazo hilo unalitekeleza!!

sasa unwezaje kuishinda hali hii?
Onana na watu wanaojua kuomba... si unajua kila mtu anasali na kuomba, lakini kwa namna ya kupambana na nguvu za giza inatakiwa uwapate wanaojua kulifanya hili inavyostahili! Pia inapotokea pigana mwenyewe katika ulimwengu wa Kiroho ukikemea hali hii na kuikataa (Sitakufa bali nitaishi katika Jina la Bwana Yesu Kristo wa Nazareti, Shetani na mawazo yako, msongo wa mawazo ndani yangu utoke kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareti) usikubali hata siku moja ukaisikia hali hii na ukakaa kimya kinyonge, nafsi yako ndo inafifia kama mshumaa!!

Bwana Yesu wa uzima na akulinde na mabaya yote, akukinge na hila na mitego ya adui, akuponye magonjwa na majeraha yote, akuhifadhi na kukufadhili na akushindie majaribu haya! AMEN!

Amen ndugu yangu hujui ni kwa kiasi gani umeugusa moyo wangu, nashukuru sana.. ni ninapokea maombi ulionifanyia kwa JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO.. Amen,,, asante sana
 
Pole, na uhakika wakati Unafikiria hayo siaminia Kama unakuwa kwenye full control of your mind, Kama huna any depression then hii ni issue inayoitaji Maombi.

Asante sana..ndo nimebakia kuomba sasa
 
Pole sana. Umefanya la maana sana kuwashirikisha dada zako waombe wasikuache uwe pekee yako na unapokuwa kwenye gari hakikisha kunakuwa na mtu pembeni yako ambaye yuko karibu na mlango. Pia itakuwa ni vizuri sana ukaenda hospitali ili kuwaona wataalamu ili wakusaidie na tatizo hili kubwa, sala pia ni muhimu sana ili kuepukana na hali hii. Nakuombea Mungu ili hali hii ya kutaka kusitisha uhai wako uachane nayo.

Asante sana,,, ndio huku ndugu zangu walidhania nina depression ili wanipeleke hospitali nikawaambia sina na kwahiyo wameamua kuungana na mimi kuomba sasa namshukuru MUNGU.. asante kwa kuniombea
 
Back
Top Bottom