Meritta
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 1,303
- 294
Asante Merrita ninaomba Mungu anisaidie,,..
Kweli mungu ndo tegemeo letu sote atakuepushie usijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Merrita ninaomba Mungu anisaidie,,..
Yawezekana maisha yako yamekuwa monotonous kiasi cha kupoteza flavour. Unahitaji kubadili staili ya maisha, ipe upya fulani. Kama umefanikiwa sana, na una raha sana, jaribu kuachana na raha hizo na kuishi maisha ya kujinyima kidogo; nenda kijijini na sehemu zenye nature usikilize sauti za ndege na wanyama, nk. Kwa kubadili mtindo wa maisha na mazingira unaweza kuona tena upya wa maisha ktk maana nzuri zaidi.
pole sana kwa hali hiyo ndugu. ila naona umeweka mipaka ya ushauri wa namna ya kuondokana na tatizo hilo, eti "tiba yoyote ya hospitalini"
Fanya yafuatayo:
- Kama unaishi sehemu ambayo unajitegemea kwa chakula na maradhi (yaani huwa unapata wakati wa kuwaza leo ntakula nini), ondoka nenda kwa ndugu ambaye uko huru sana ukiwa kwake hasa wazazi kama wapo.(kinachotakiwa hapa upate pumziko la bila kuwaza utakula nini. we ule kile watakacho tafuta wazazi)
- Ikiwa ulizoea kukaa katika familia ya watu wengi yenye ucheshi na pilikapilika za aina mbalimbali na sasa umeondokana nayo, basi ni wakati muafaka wa kutembelea familia hiyo kila Unapohisi hali hiyo inakujia...
pole kwa yaliyokupata kwahiyo hukupata tena hali ya kutaka kujiua?? uliombewa?? haukupata matibabu yoyote ya hospitali?
Una maanisha nini hapa sijakuelewa
kwa siku hizi mbili mfululizo nimekua nikipata sana mawazo ya kujiua kila ikitokea nafasi ya kuweza kujiua nawaza kujiua
Jana nilikua nimepakia kwenye gari natokea masafa marefu na milango haikua imelokiwa,, kwahiyo kila wakati wazo linanijia kuwa nifungue mlango na kujitupa katikati ya barabara wakati gari lipo kwenye speed ya juu,, na leo tena mawazo hayo yameniandama siku nzima,, nikaamua kuwashirikisha dada zangu wakaniuliza kama nina kitu kinani depress lakini sioni kama nina jambo lolote linalo ni depress i feel fine,, am happy lakini sijui kwanini kila wakati napata kishawishi cha kujiua.... kiukweli nakosa raha kwa sababu ya hali hii leo nusura nifungue mlango wa gari wakati ipo kwenye kasi ya ajabu barabarani
Naombeni mnisaidie hili ni tatizo la kiakili ama ni nini?? ninahitaji kupatiwa tiba yoyote ya hospitali?
NB hii hali hiko nyuma ilishawahi kunitokea mara kadhaa ila nikaweza kujikaza na kuishinda nilisali na kuombewa lakini kwa sasa naona imekuja kwa nguvu zaidi..kusali ninaendelea ila najiuliza kwa nini linanijia?
wahehe mara nyingi akijisikia kujinyonga uwa wanafanya kweli
Umepagawa na jini la mauti.
Uchaguzi ni wako anne maria, chagua kifo au chagua kuishi.
Waone watumishi wa Kanisa wamteketeze kama unataka kuishi, pia achana na maisha machafu yenye kuruhusu shetani kutawala maisha yako, na uokoke.
Pole sana! ni ibilisi huyo, fanya sana maombi.
ANNE, Pole sana mpendwa wangu!
jambo moja tu ni hili na ulishike sana, nenda kwa watu wa Mungu wakuombee!! Usicheze na mapepo kabisa yanaweza kukuuwa saa yoyote! lakini sharti hili litokee, shetani anapotaka kufanya uharibifu anaomba kibali kwa mhusika, na unapomruhusu ndo anafanya! Unamruhusuje na anaombaje kibali?
Anakupa wazo mfano la kujiua, katika hali hii, unajenga hofu na msongo mkubwa wa mawazo na kuhangaika kama unayofanya kwa kuwa nafsi yako haitaki kukubali, hali hii usipojua cha kufanya inaendelea kwa kasi na nguvu kubwa mpaka nafsi yako inakosa nguvu ya kuresist beyond! inapofikia hapa basi kibali umekitoa! na inatokea.... kumbuka kuwa sio shetani amkuuwa ila umejiuwa mwenyewe! kwa hiyo unapokubaliana na wazo hilo unalitekeleza!!
sasa unwezaje kuishinda hali hii?
Onana na watu wanaojua kuomba... si unajua kila mtu anasali na kuomba, lakini kwa namna ya kupambana na nguvu za giza inatakiwa uwapate wanaojua kulifanya hili inavyostahili! Pia inapotokea pigana mwenyewe katika ulimwengu wa Kiroho ukikemea hali hii na kuikataa (Sitakufa bali nitaishi katika Jina la Bwana Yesu Kristo wa Nazareti, Shetani na mawazo yako, msongo wa mawazo ndani yangu utoke kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareti) usikubali hata siku moja ukaisikia hali hii na ukakaa kimya kinyonge, nafsi yako ndo inafifia kama mshumaa!!
Bwana Yesu wa uzima na akulinde na mabaya yote, akukinge na hila na mitego ya adui, akuponye magonjwa na majeraha yote, akuhifadhi na kukufadhili na akushindie majaribu haya! AMEN!
Pole, na uhakika wakati Unafikiria hayo siaminia Kama unakuwa kwenye full control of your mind, Kama huna any depression then hii ni issue inayoitaji Maombi.
Pole sana. Umefanya la maana sana kuwashirikisha dada zako waombe wasikuache uwe pekee yako na unapokuwa kwenye gari hakikisha kunakuwa na mtu pembeni yako ambaye yuko karibu na mlango. Pia itakuwa ni vizuri sana ukaenda hospitali ili kuwaona wataalamu ili wakusaidie na tatizo hili kubwa, sala pia ni muhimu sana ili kuepukana na hali hii. Nakuombea Mungu ili hali hii ya kutaka kusitisha uhai wako uachane nayo.
embu jaribu kujiheshimu ndugu yng,mwenzako anaomba ushauri seriously wewe unaleta jokes.sio lazima kila kitu u-comment