Nina shauku/curiosity ya Kiintelejensia kuhusu Kuanguka kwa SGR

Nina shauku/curiosity ya Kiintelejensia kuhusu Kuanguka kwa SGR

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Baada ya kuchambua video ya leo ya Samia nimeona kwa macho yangu kuwa alipo tangaziwa na kupewa cheti sio Jengo/Ofisi za Tume Dodoma, kwa maana nyingine Juhudi zetu za watu kwenda maeneo ya tume zilionesha matumaini na kujaza hofu za hawa madhalimu.

Kingine baada ya kuangalia Ramani vizuri nimekumbuka kuwa Unaweza ukafika Ngerengere Kwa kutumia SGR, tunatakiwa kufahamu hawa high profile waliopanda waliokuwemo na ratiba za baadhi ya watu.

Pengine kuna upande mmoja ulifanya jaribio la kuhujumu hii reli, ili kuzuia/kupunguza watu kufika sehemu muhimu.
 
Back
Top Bottom