Hahahahaaa..Nimeamshwa na simu ya dalali ya kudaiwa hela na usingizi umeisha
Acha tujishaue huku wengi hawatujui. Sema hata kule insta unachokiona kwenye picha na live ni vitu viwili tofauti. Bora huku mnakua hamna hata ya idea tunafanana na kitu gani..Utakuja kukutana nao tu mkuu...wengine haswa hawa watoto wakike wengine mashauzi kibao humu but ukikutana nao wabovu kichizi....nishawahi kutana nao baadh....wakiwa humu mashauzi utadhani wapo classic but kutana nao sasa...kuna comment huwa nikiziona humu nabaki kucheka tu
Hata mimiMimi bado sijakutana na hata mmoja!
Wala sina wazo la kuonana na member humu!
Tuonane lini mpendwa?Acha tujishaue huku wengi hawatujui. Sema hata kule insta unachokiona kwenye picha na live ni vitu viwili tofauti. Bora huku mnakua hamna hata ya idea tunafanana na kitu gani..
Naomba tuonaneLeo kila mtu atajifanya hajakutana na watu humu jf kumbe ana list zake
Niliokutana nao inatosha kwakweli na sihitaji tena kuongeza wengine
Wamefunga PM zaoWatafute sasa...si wadada wanajulikana
Hahaha hahahaUnasema??
Umekua kama kina nanihii wao kila kitu cha JF hawajafanya
Siku ya kwenda kukutana naye uniite nami nataka nikutane naye tuuMimi nataka nikutane na wewe ndo niache kukutana na watu.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hahahaHata mimi
Wafungukie hapahapa tuuWamefunga PM zao
Apa atahisi namtania kumbe mi namaanishaWafungukie hapahapa tuu
Duh huku mmezidi kwa kweli....but kuna wengine humu ni watu poa sana....kiukweli bora insta unakuwa na idea ya kitu unachokiona kinafananaje...humu mengine ni madume yanajifanya ya kikeAcha tujishaue huku wengi hawatujui. Sema hata kule insta unachokiona kwenye picha na live ni vitu viwili tofauti. Bora huku mnakua hamna hata ya idea tunafanana na kitu gani..
🤦♀️🤦♀️🤦♀️Apa atahisi namtania kumbe mi namaanisha
Tupo, tuna washangaa tu, ubin wa adamu unavyohangaikaHumu hadi majin tupo
Mbona wajiziba sura[emoji2356][emoji2356][emoji2356]
Ni kama kubet flani hivi, the thrill unayopataMi natamani kuonja penzi la mdada wa JF
Insta kwenyewe wanakimbianaga ujue. Huku ndo hatari hiyo. Unatongoza kumbe unatongoza kidume mwenzioDuh huku mmezidi kwa kweli....but kuna wengine humu ni watu poa sana....kiukweli bora insta unakuwa na idea ya kitu unachokiona kinafananaje...humu mengine ni madume yanajifanya ya kike
Kwahiyo sisi wabaya eeh baba? Fanya kwanza mpango wa Ile gauniHuwa najiuliza JF kuna wadada wazuri kweli, maana mi na mabinti damu damu kama FA, ila sijawah kuona binti mrembo ana app ya JF au anaongelea tu JF
Huwa najiuliza waliomo humu ni kina nani, na wakoje?