Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Utakuja kukutana nao tu mkuu...wengine haswa hawa watoto wakike wengine mashauzi kibao humu but ukikutana nao wabovu kichizi....nishawahi kutana nao baadh....wakiwa humu mashauzi utadhani wapo classic but kutana nao sasa...kuna comment huwa nikiziona humu nabaki kucheka tu
Acha tujishaue huku wengi hawatujui. Sema hata kule insta unachokiona kwenye picha na live ni vitu viwili tofauti. Bora huku mnakua hamna hata ya idea tunafanana na kitu gani..
 
Acha tujishaue huku wengi hawatujui. Sema hata kule insta unachokiona kwenye picha na live ni vitu viwili tofauti. Bora huku mnakua hamna hata ya idea tunafanana na kitu gani..
Duh huku mmezidi kwa kweli....but kuna wengine humu ni watu poa sana....kiukweli bora insta unakuwa na idea ya kitu unachokiona kinafananaje...humu mengine ni madume yanajifanya ya kike
 
Huwa najiuliza JF kuna wadada wazuri kweli, maana mi na mabinti damu damu kama FA, ila sijawah kuona binti mrembo ana app ya JF au anaongelea tu JF
Huwa najiuliza waliomo humu ni kina nani, na wakoje?
Kwahiyo sisi wabaya eeh baba? Fanya kwanza mpango wa Ile gauni
 
Back
Top Bottom