Mimi nataka nikutane na wewe ndo niache kukutana na watu.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ya kwenda kukutana naye uniite nami nataka nikutane naye tuu
Mnasemaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usijali mama tutaenda wote
Fungua pm we dada unakosa mambo mazuriDaaah. Ngoja basi nifungue pm tu nisijekosa gauni la kwendea kwa wakwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeshakutana na Kinondonisweetheart na Apechealoloππππππ
Peke yangu ili unifanye nn babuUje peke yako...
Nimesahau kufungua. Nakosa zawadi ya Eid hivi hivi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Fungua pm we dada unakosa mambo mazuri
Khaaaa...!!!Peke yangu ili unifanye nn babu
Nitakuja na mchepuko wako mkuu
Ile ya Habibu sikuaminipaka leo siiamini.Pole sana,.naskia watu wamefunga hadi na ndoa humu..
Akifika amtusi melo, akirudi hana acces JFnenda katembelee makao makuu ya JamiiForums pale Mikocheni kama unataka kuonana nao live
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimesahau kufungua. Nakosa zawadi ya Eid hivi hivi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
NdiwoooooKhaaaa...!!!
Itakuwa siri yetu...Ndiwooooo
Peke yangu unifanye nn eti
wengi Sana Nishakutana nao ila tu sijui kama ndo Wenyewe wanatumia I'd fake kama Mleta Post.ila Napenda Sana nimeet nA Mshana Jr Zero IQ Mother Confessor nA ShunieItakuwa siri yetu...
Halafu badae unaanza kusononeka ume miss kuwa mtoto, Wakati mtu wa kukubabysha nipo kabisa willing and ready.Nimesahau kufungua. Nakosa zawadi ya Eid hivi hivi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
ππwengi Sana Nishakutana nao ila tu sijui kama ndo Wenyewe wanatumia I'd fake kama Mleta Post.ila Napenda Sana nimeet nA Mshana Jr Zero IQ Mother Confessor nA Shunie
Dodoma utanikuta mkuuwengi Sana Nishakutana nao ila tu sijui kama ndo Wenyewe wanatumia I'd fake kama Mleta Post.ila Napenda Sana nimeet nA Mshana Jr Zero IQ Mother Confessor nA Shunie
Akifika amtusi melo, akirudi hana acces JF
One day yesDodoma utanikuta mkuu
freemasonSijui ni watu wa namna gani ..waheshimiwa , viongozi wa dini , freemasons , TISS ??!
Mwenyewe akiMnasemaaaa
Mfyuuuuu zenu
Matusi jamani.. mtu haniwekei bundle ila anataka akituma pm nimjibu ni haki kweli? Usipojibu unaitwa majina yote kwenye majukwaa.. nikachoka na mie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kilichokufanya ufunge ni ninii eti
Basi anza kumpm ww