Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Nimesahau kufungua. Nakosa zawadi ya Eid hivi hivi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Halafu badae unaanza kusononeka ume miss kuwa mtoto, Wakati mtu wa kukubabysha nipo kabisa willing and ready.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kilichokufanya ufunge ni ninii eti

Basi anza kumpm ww
Matusi jamani.. mtu haniwekei bundle ila anataka akituma pm nimjibu ni haki kweli? Usipojibu unaitwa majina yote kwenye majukwaa.. nikachoka na mie
 
Back
Top Bottom